Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Naona mmeamua kutoa somo la ulozi sio...

Kweli Kabisa Unachoongea Maana Ndio Umeishia Hapo Fikra Zako Nadhani Mtu Hasemi Kitu Bila Kukijua Ulozi Unaujua Wewe Ila Ingawa Sijui nini maana ya upozi Nitakujibu hivi hata mimi siku Ya Kwanza Kuona Ndege Inapita Juu Nilisema Wachawi Wanapaa...

nilikuja kuambiwa ni chombo cha usafiri sikuamini... maana nilikuwa na uwezo kama wako wa kufikiri....

"Rakim$"
 
I respect your viewpoints Rakims, but I'm afraid you're taking allegiance with ignorance and diabolical celestial beings. The article in itself is full with speculation and unfounded assertion.

Your idea is based on your faith beliefs and dogmas, in contrast, your thread is more fiendish and supports witchcraft. My question is: are you open to the possibility that your belief system might be distorted and from not God? 

"Find Out What Is A Lucid Dream Mkuu"

kawaida ya brain powers mara nyingi huonekana uchawi kwa watu kughairi kufikiri....
Rakims
 
Guys nimejarib dis morning....wakati wa kutengana miili nj shidaaa u feel like hell yaan ubarid unauckia unaanzia miguuni kwene unyayo....unapanda taratib then take over inatakoa very slowly....separation of body! Nimeamua nijikurupue maana kuna imetoke very strange! But ntajarib tenaa jion

huwa napenda sana mtu anaefanya feedback maana husaidia hata wasiojua kujua nitaomba uwe unadondosha hapa sio p.m ili upunguze tongotongo za watu... na michanga vichwan usiogope ni safe way but watu wanaimagine kitu ambacho sijafundisha...
jiwe7456
 
Last edited by a moderator:
Hii mada imenifanya nimkumbuke binti mmoja (jini mahaba) alikuwa akinipeleka mahali popote nilipotaka kwenda hata huko angani juu sana. Ila alizidisha hamu ya kuwa karibu na mimi wakati wowote hata nikiwa kwa daladala ikabidi nimtimue.

hahahahaaaah nadhan umejua alikuwa anakubeba vipi... anatumia nguvu yako mwenyewe... ndio maana ulivyotimua akatimuka..
Donnie Charlie
 
Last edited by a moderator:
Hii mada imenifanya nimkumbuke binti mmoja (jini mahaba) alikuwa akinipeleka mahali popote nilipotaka kwenda hata huko angani juu sana. Ila alizidisha hamu ya kuwa karibu na mimi wakati wowote hata nikiwa kwa daladala ikabidi nimtimue.

hahahahaaaah nadhan umejua alikuwa anakubeba vipi... anatumia nguvu yako mwenyewe... ndio maana ulivyotimua akatimuka..
Donnie Charlie
 
Last edited by a moderator:
Mi nina mdogo wangu wa kike, kuna kipindi fulani alikuwa akilala usiku anastuka hali ya kuwa yupo usingizini anatoka kitandani anafika hadi mlangoni

kama anataka kutoka nje halafu anarudi kitandani au wakati mwingine anatembea hatua chache kutoka kitandani halafu anarudi tena kula kama zombie flani hivi hata ukimsemesha haelewi nikawa najiuliza sanaa siku akifanikiwa kufungua mlango bila sisi kusikia ataenda hadi wapi?

Lkn sikuizi haamki usiku tangu awe mdada mkubwa.

Hebu mkuu rakims nisaidie hii inahusiana na hiko ulichokieza hapo juu??:confused:

hapo ni pale ubongo ukichelewa kuactivate safe paralysis kwenye mwili hii hisababisha hata kuongea hovyo kitandani na sababu hasa ni pale mtu anaposinzia hovyo kwenye makochi na kuamshwa amshwa akalale ndani zaidi ya mara tatu... Ahsante
munrash

"Rakims"
 
kwani unaweza ukaona kinacho endelea katika ulimwengu wa kawaida? Kama kwenda mahali watu wapo ukajumuika nao bila wao kujua uwepo wako?

ndio mkuu sema ukisha visualize usivisualize kingine ukiendelea kuvisualize zaidi inakuwa lucid dream....
godimpare

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
Duh!!! Hivi kumbe hizo mambo anayoongea mkuu ni kweli baadhi ya watu duniani wanaweza kufanya mie nilifikiri ni story tu za kufikirika

ukitaka kuamini fanya halafu uishie pale kwenye ganzi ndio utaamini u can o cant

"Rakims"
 
Back
Top Bottom