Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
MPAKA LEO 20.1 SIJAWEZA BADO HILI ZOEZI
Bado naaminj
Bado naaminj
Kwa kweli nimekosa lugha kukupongeza kwa hili.Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo muhimu hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Waambieni nguvu zinazotumika kuyafanya haya sio nguvu za Mungu ni nguvu za giza!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.
Masharti ni haya.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't try this or do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are very sure of what going into, and you are trying to do and what to achieve and not doing it for fun!, na ujue unaingia kwenye ulimwengu wa majini na ushetani!.
- Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
- Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane (ni maisha ya kichawi) ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!, zinageuka mchawi!.
- Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised bila supervisor na supervision, vinginevyo ni safari jumla!.
- Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
- Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Paskali
Tafadhali Hannah njoo usome hapa pia, these are synonymsMkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo muhimu hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Waambieni nguvu zinazotumika kuyafanya haya sio nguvu za Mungu ni nguvu za giza!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.
Masharti ni haya.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't try this or do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are very sure of what going into, and you are trying to do and what to achieve and not doing it for fun!, na ujue unaingia kwenye ulimwengu wa majini na ushetani!.
- Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
- Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane (ni maisha ya kichawi) ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!, zinageuka mchawi!.
- Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised bila supervisor na supervision, vinginevyo ni safari jumla!.
- Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
- Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Paskali
Jitaid utaweza japo linaitaji utulivu wa Hali ya juuMPAKA LEO 20.1 SIJAWEZA BADO HILI ZOEZI
Bado naaminj
Wewe umeweza??Jitaid utaweza japo linaitaji utulivu wa Hali ya juu
Try at your own risk.Wewe umeweza??
Muda mwingine ukishindwa zoezi unatakiwa uliache kwa kupumzika siku 2 na kuliangalia kwa ukamilifu ni wapi unakosea kisha unaanza moja.MPAKA LEO 20.1 SIJAWEZA BADO HILI ZOEZI
Bado naaminj
mkuu mim sijui hat jins ya kuchat humu mana natumia cm ndogo.Muda mwingine ukishindwa zoezi unatakiwa uliache kwa kupumzika siku 2 na kuliangalia kwa ukamilifu ni wapi unakosea kisha unaanza moja.
Siku unafanikiwa hutaona kuwa siku zote zile ulikuwa unahangaika kufanikisha jambo
kwahyo nitakuw sioni notification yoyot mpak nibahatishe lakin pia mim nimejaribu kufany hyo astral projection na nimefika mpak kweny ile hatua ya mwili kuwa na ganzi kabisa na badae nikaw hata pumz yenyew nikawa siihisi kabis tatiz nilishndwa kujua kama natakiw ninyanyuk mwenyew au natakiw nisubir mpak mwili ujinyanyue wenyew hap ndo sijapaelewa kabis mpak dakik hii.Muda mwingine ukishindwa zoezi unatakiwa uliache kwa kupumzika siku 2 na kuliangalia kwa ukamilifu ni wapi unakosea kisha unaanza moja.
Siku unafanikiwa hutaona kuwa siku zote zile ulikuwa unahangaika kufanikisha jambo
Umekaribia kuweza mkuu. Jitahidi kuna faida nyingi sanakwahyo nitakuw sioni notification yoyot mpak nibahatishe lakin pia mim nimejaribu kufany hyo astral projection na nimefika mpak kweny ile hatua ya mwili kuwa na ganzi kabisa na badae nikaw hata pumz yenyew nikawa siihisi kabis tatiz nilishndwa kujua kama natakiw ninyanyuk mwenyew au natakiw nisubir mpak mwili ujinyanyue wenyew hap ndo sijapaelewa kabis mpak dakik hii.
thank,s but wew tayar umeshawai kufanya mana nasikia kaubarid fulan alafu kweny ile hatua ya ganzi pale unanyanyuk mwenyew au unasubiri mwili ujiamshe wenyewe?Umekaribia kuweza mkuu. Jitahidi kuna faida nyingi sana
Mayalla kitambo sana kwenye hizo dqrk sideMkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo muhimu hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Waambieni nguvu zinazotumika kuyafanya haya sio nguvu za Mungu ni nguvu za giza!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.
Masharti ni haya.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't try this or do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are very sure of what going into, and you are trying to do and what to achieve and not doing it for fun!, na ujue unaingia kwenye ulimwengu wa majini na ushetani!.
- Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
- Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane (ni maisha ya kichawi) ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!, zinageuka mchawi!.
- Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised bila supervisor na supervision, vinginevyo ni safari jumla!.
- Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
- Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Paskali
Nimeishi kote UK na US, nikumbushe tuu.Mayalla kitambo sana kwenye hizo dqrk side
Hivi tulikutana marryland au UK
Merliland yangu mimi brother nimefika kwa Astra projection tu 🤣🤣Nimeishi kote UK na US, nikumbushe tuu.
P