Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Kama akina dr strange kwenye movi za marvel
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    9.3 KB · Views: 19
  • astral-projection-1631046036.jpg
    astral-projection-1631046036.jpg
    35.4 KB · Views: 15
  • images.jpeg
    images.jpeg
    8.4 KB · Views: 16
  • be2ff4523b0da73e-600x338.jpg
    be2ff4523b0da73e-600x338.jpg
    32.9 KB · Views: 23
😀😀😀Mara ya pili hat sikujua nimelala ty nikasikia kishindo nikashtuka nikashuka kitandani nikasimama😂😂 kuwaza vizur kumbe ni astra nilijilaumu kwann sikutulia ila rah sana ikitokea tena naenda dubai😂😂😂
Sio rahisi hivyo ni ubongo wako tu ila astral sio rahisi na hauwezi kufanya bila uangalizi wa mtu km ilivyo lucid the more you go the more unapotea astral sio dream walking

astral ni unatoka unauona mwili wako huo hapo umelala una experience kabisa kwamba hapa sasa nimeuacha mwili wangu naondoka unaondoka unaanza kutanga tanga nje unaenda popote unapopataka utakavyokutana navyo huku km huna uangalizi unaweza usirudi kwenye mwili wako uliouacha ndio maana nakwambia sio rahisi

kibaya ni kwamba mambo yakichafuka cha kwanza kinachokujia ni kuutafuta mwili wako ulipo kwa hio lazima ujue mwili wako uliuacha wapi ili uurudie ili urudi km kawaida la sivyo unapotelea huko huko
 
Hujaelewa nilichosema ndugu na sijaelezea kila step ila naomba tuushie hapa ila nina miaka sasa nafanya meditation na kilakitu kwangu kilikuja natural toka siku ya kwanza.
 
Ulishawahi kufanya hio kitu?
 
Hujaelewa nilichosema ndugu na sijaelezea kila step ila naomba tuushie hapa ila nina miaka sasa nafanya meditation na kilakitu kwangu kilikuja natural toka siku ya kwanza.
Ulishawahi kufanya hio kitu sijui kutoka nje ya mwili?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom