Jinsi ya kutoa vocal na kubakiwa na beat

Jinsi ya kutoa vocal na kubakiwa na beat

Mkuu nilimaanish Audacity

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Wadaunaomba mnijuze ni kwa njia gani naweza kuremove vocal kutoka kwenye wimbo na kubakiwa na beat??? Kama kuna software ni software gani?

Ni ngumu sana kutenganisha Mp3 au wav etc vocal na beat. Ziko programs nyingi zanazojidai zinafanya lakini ukizitumia kinachopatikana ni uchavu. Very bad quality sound. Hata kuna baadhi ya redio zina option ya KARAOKE ambayo ni kama inaondoa vocal lakini unapata beat chafu, vyombo havieleweki.

Kutenganisha vocal na beat ni rahisi kama unayo PROJECT file kabisa. Kama ni project ya audition unatumia audition na utaona chanel zote ...
 
Back
Top Bottom