Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Kamari ni mchezo wa kompyuta na ushindi wake unategemea codes na algorithms zilizowekwa na maprogrammer waliounda huo mchezo. Kama code inasema kwa mchezo fulani mchezaji wa milioni 2 na 999 ndiye atashinda jackpot hakuna jinsi ya kubadili unless u-hack source code yenyewe ukabadilishe. Na kwa vile huwezi kujua kama wewe ndo utakuwa mchezaji wa milioni 2 na 999 basi ni vigumu sana kubashiri.

Programmer mmoja kule Wisconsin mwaka huu alikamatwa kwa sababu alikuwa anajua source code zinasemaje na alikuwa anashirikiana na familia yake na marafiki ili kushinda jackpot.

Ingekuwa rahisi hivi kila mtu angekuwa anashinda na makampuni ya kamari ingebidi hata yafungwe...

View attachment 792408
Mpira wa miguu watakuwa wanatumia namba za kirumi basi.
 
mkuu mimi sio mbabaishaji kama wengine until nafundisha kitu jua nna experience nacho hata kitu kikienda wrong
naweza kumuongoza mtu mkuu uliza wanaonifahamu humu watakwambia na ambao teyari nimeshafanya nao online business watakuthibitishia, so sometimes all you have to do is asking mkuu wewe huwa unashinda? give proof unapewa na kama unataka kujifunza unaomba sio kukejeli mradi umeongea
View attachment 789093
screenshot_20180529-124815-png.789093


fungua attachment hiyo utaona
Kwenye hyo picha huo mchezo unaitwaje
 
Back
Top Bottom