Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,982
4,481
USHINDI WA KAMARI:

Hii ni spell rahisi itakayo kufanya ushinde michezo mbalimbali ya kamari.

lakini kumbuka kuwa kamari ni michezo mibaya na haramu lakini watu wamejikuta wakicheza na kulazimika kucheza kwa sababu imepewa kipaumbele maeneo mengi sana sasa kuliko kukosa kabisa na kupata madhambi yasiyo na faida heri utumie njia za kuweza kufilisi wahuni,

449528_origd885.jpg


Ushindi wa kamari sio tu unategemea bahati yako bali pia unategemea uwezo wako wa kuunganisha nguvu yako chanya kuweza kupata matokeo chanya na jinsi unavyoweza kutumia nguvu hii kubadili bahati yako mbaya na kuwa nzuri na kuepukana kukosa yale unayoyahitaji

kuna watu wengi wakiingia kucheza kamari hushinda jackpot lakini ukiwaangalia ni watu wa kawaida tu kama sisi hawana tofauti isipokuwa wanakuwa tu wamechannel vizuri nguvu zao za kufanya mambo kuwa chanya na wewe pia unaweza,

kitu unachotakiwa kufanya ni kuchannel nguvu yako ili uweze kupata kuaccess sehemu ya roho yako ambayo inaweza kuona ushindi ulipo yaani machale ya ushindi,

hivyo kitu cha kwanza ukisha channel hivyo basi utaona ni mchezo gani ambao ukicheza utashinda sio wote tunaweza kushinda mpira wa miguu bali wengine hutakiwa kuwa mashabiki tu na kushindania michezo mingine.

maisha sio rahisi na ili kuweza kuyaishi basi unatakiwa upate pesa kwanza za kukutosha na baada ya hapo ndio uweze kufanya mengine yaliyobaki

, Na pia kuwa na bahati katika maisha yako kuna weza kukusaidia kushinda na kufanikisha mambo mengi sana ya maisha na kuishi kwa bahati nasibu ndio asili ya mwanadamu kwa sababu unaishi hujui mambo yanaweza kukugeuka muda gani dakika yoyote mambo yanajengeka au yanaharibika, na kufanya spell kama hizi si kitu kibaya kwa sababu unachukua msaada kuchannel nguvu ya dunia na roho yako kufanikisha ushindi wako.

na wewe pia unaweza shinda bahati nasibu ikiwa tu utafanya spell ambayo ipo vema na itakayoendana na wewe.
kwa hivyo basi sasa na wewe badili maisha yako kwa kushinda jackpot moja uondoe madeni na uokoe mlolongo wako wa matumizi ya pesa yasiweze kukusumbua tena kumbuka few wins is enough for you to run your life,

pia kuna watu hufanya spell hizi zishindwe kufanya kazi kwa sababu mtu hajiamini wala hakubali ushindi wake na wala hata akishinda inakuwa hana raha wala haoni kuwa imetosha.
Also there are many who may try to cast the spell for the first time and if you have negative thoughts in your mind, don't even try to cast the spell or it may backfire on you. In that case let a professional cast the spell on your behalf.

JINSI YA KUFANYA:

images.jpg


Utatakiwa ufanye usiku wakati unaenda kulala, chukua bakuli la maji au chupa ya maji ya rose water, katika hilo jagi au chupa au kopo weka shilingi nyingi nyingi, halafu ziguse kwa kuingiza mkono kwenye maji hayo. na uanze kusema maneno yafuatayo:

"MORA PONITA PAISIE JOYE" mara 200 kisha toa mkono wako na uuweke kweny paji lako la uso ili maji yale yaguse kichwa chako

Ukimaliza nenda kalale utaota ndoto mtu anakufundisha mbinu zote za mchezo wowote wa kamali utakao muuliza humo ndotoni.

untitled_drawing_by_salomeu2-d6ewzir.png


Hii spell kwa uhakika wa kutoa pesa ni chini ya 2 hadi 3 milioni hivyo usifanye kwa kupiga zaidi ya pesa hizo utajisumbua tu



Baadhi ya majaribio ni hapo chini

RakimsView attachment 1537396View attachment 1537395View attachment 1537397


NB:
Ingawa watu wengi wanashinda michezo ya bahati nasibu yenye majina mengi mengi mazuri, hii haifanyi kamari kuwa nzuri isipokuwa ni haramu kama haramu zingine tu

Dini zote zinakataza mambo haramu kumbuka.

Rakims
 
Kwanza, hayo maneno maana yake nini mkuu?

Ila hii michezo ya kamari tunacheza tu lakini kanjibhai sio bure,lazima atakuwa anafanya udambu udambu, mambo fulani mafekecho a.k.a ndumba kalawinze maana ukiingia hivi ye anatoka vile, kila ukibet unagongwa tuu..
 
Kwa jinsi vyuma vilivyokaza na kwa jinsi wabongo tunavyopenda mteremko walahi tena kuna watu watajaribu kujilaani kwa stahili hii! Kunuia maneno usoyajua kwa kujishika paji la uso tena usiku ni kujitafutia balaa kubwa!! Ili ushinde fanya yafuatayo

Amini kwa dhati kabisa kuwa wewe ndo mshindi!

Wakati wa kucheza mchezo wowote vuta hisia kama unamuambia mama yako au baba yako au bibi au babu upande wa mama hata kama hawapo duniani nuia ukitamka jina lake na kusema kuwa unacheza huku ukiamini utashinda kwa nguvu ya MUNGU na pia kwa baraka zake mama (au yeyote ulomchagua) na kwamba baada ya ushindi sehemu ya pesa utampelekea yeye popote alipo na kama amefariki basi utaenda kaburini kwake kutoa shukrani kwakuwa unaamini hivyo!

Kumbuka hapa naongelea imani ya kiwango cha juu na sio shallow!!
 
Back
Top Bottom