Jinsi ya kushawishi watu

Kongole mkuu

Kuna siku nimeingia shop ni Duka la viatu tupu,kuna mdada alinipa Sana ushirikiano katika kuniletea pea mbali mbali mwisho wa day,,,nikaona pea mbili zote nimezielewa nikawa sijui nichague ipi?

Mdada akaniambia broo chukua hiki hapa kimekupendeza kutokana na mwonekano wako,na sijajutia coz hata Mimi nimekielewa Sana,nikamwacha na hela ya soda kabisa.
 
Exactly...
 
Mkuu umetisha sana

Vp ni kitabu gani bora unakifahamu kwajili ya kulisha ubongo hasa vya kiswahili coz ngeli kuna muda wengn hainyooki vzur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom