utapata kila kitu http://www.brela-tz.org/downloads/FEES.pdf
kisha wasiliana nasi tukusaidie kusajili kampuni yako kwa muda mfupi. Huhitaji kusumbuka, tupo kwa ajili yako
email us isibingo@gmail.com
Hii ni kwa ajili ya nini ndugu? Mchanganuo kidogo utanipa mwanga!Kama ni Limited Co. Andaa kama 300,000/=
Hii ni kwa ajili ya nini ndugu? Mchanganuo kidogo utanipa mwanga!
Na total Gharama mpaka usajili unaisha zinachezea wapi? I want reputable Company which deals with these things, I have a dealCharges mbali mbali zao Brela
kwa wazoefu, mtusaidie, hivi ni leseni ngapi mtu unatakiwa kuwa nazo ukianza biashara au ukifungua kampuni, aina ngapi za leseni kabla ya kuanza biashara? pamoja na zile za manispaaa, sijui jiji/miji etc.1. Kwanza chagua jina halafu nenda Brela kasajili jina. It's a one day process.
2. Baada ya kupata 'OK' ya jina. Nenda kwa mwanasheria akuandalie documents mbili muhimu. Hii ni The Memorandum of the Company na Articles of Association copy nne nne. This is a Two days Job.
3. Unarudi Brella na kujaza forms na ku-submit na hizo documents na unalipia - applicable fees. This is another two days job.
In total 5 working days zinatosha kusajili kampuni. Ukianza Jumatatu, unamaliza Ijumaa. Kama una mkono mrefu, unaweza kufanyiwa kwa Fast Track na ukamaliza mambo yote in a day or two.
what do you mean? take this example, mfano kampuni yangu nimeweka jina la kingkonglll co.ltd, na nyingine nikaweka kingkonglll investments, zote nimepeleka memo na articles, what is the difference, na kwanini ada ziwe tofauti, ipi ina ada kubwa na ipi ada ndogo, ipi inadili na nini na ipi inadili na kiwango minimum kipi...thanks.Kama ni Limited Co. Andaa kama 300,000/=
Zipo angalia uzuri utazionaNatafuta kwa nini forms zao za kusajili kampuni wasiziweke kwene mtandao ili watu kama sisi tunaotazitafuta tuweze kuzipata kwa urahisi?
It depend ni biashara gain unafanya, kama ni biashara ya kawaida leseni ni moja tuu kwa specialized business then unaomba specific license on top of general business license, lets say usafirishaji Sumatra, communications, TCRA, air transport TCCAI!kwa wazoefu, mtusaidie, hivi ni leseni ngapi mtu unatakiwa kuwa nazo ukianza biashara au ukifungua kampuni, aina ngapi za leseni kabla ya kuanza biashara? pamoja na zile za manispaaa, sijui jiji/miji etc.
Kumbuka, baada ya kusajili kampuni (Incorporation) na kabla ya kuanza biashara utatakiawa kupata leseni ya biashara (business licence) na pia kujisajili kama mlipa kodi (TIN certificate).
Nakutakia mafanikio.
Natafuta kwa nini forms zao za kusajili kampuni wasiziweke kwene mtandao ili watu kama sisi tunaotazitafuta tuweze kuzipata kwa urahisi?
Niambieni jina lake huyo binti mwenye nyodo ili nimpe taarifa Mzee Mahingila the CEO wa BRELA. Hana mchezo yule mzee
business name registration(wanaiita kampuni ndogo) ndio huweza kusajiliwa kama sole propriator au patnership.gharama za usajili kwa aina yote mbili ni moja yaani sole propriator na patnership ni moja SH 6000 bila msaada wa wadau wa takrima,ila na takrima ikihusika kuna watu wanacharge mpka laki 1 .huhitaji document zozote kuambatanisha zaidi ya kujaza form ambayo inajielezanaomba kujua kuna tofauti gani katika kusajili kampuni kama sole proprietership au partnership??
Hasa katika viambatanisho wanavyotaka ili upate usajili
pia interms of gharama za usajili .. sole proprietership inaweza kugharimu tsh ngapi na partnership pia!