Aise, huko ni kudumaza maendeleo, bora wangeweka vitambulisho viwili au vitatu ukikosa hichi jnaleta hichi mfano passport au Leseni ya Gari.Nimewauliza hilo wakajibu Kitambulisho cha Taifa ni lazima na kama bado kabisa itabidi usubiri tu. Ndio hali halisi
Hello mfuga kukuMimi nilisajili mpaka hapo kwenye Namba 8 nikakwama. Ebu nieleweshe na Attach nini Maana hapo ndo nilipofikia nikakwama
Mawakala wa Usaji Wapo mkuuMkuu hata kutoa elimu inahitaji authorization ya BRELA au hukupima ulichouliza! Hata hivyo BRELA hawana authorized agents kama ilivyo makampuni ya simu. Wao wanachotaka kampuni au biashara imesajiliwa kwa kufuata sheria na taratibu zao period.
Hata mimi nimekwama kwenye hii hatua ukipata solution unijuze.Sipati ushirikiano mzuri na namba za Msaada za BRELA zilizopo kwenye mtandao.Msaada mkuu...pale kweny representative statement natakiwa kujaza nini?
Polee mkuu ,yani walitakiwa kwanza watoe form yenye kueleze kila jinsi ya kujaza had kumalza zoez...ngoja tusubri majibu hapaHata mimi nimekwama kwenye hii hatua ukipata solution unijuze.Sipati ushirikiano mzuri na namba za Msaada za BRELA zilizopo kwenye mtandao.
Mkuu,Hongera kwa kazi nzuri ya kuelimisha jamii mimi nafanyaga hizi kazi ila kwa ufafanuzi uliotoa hapa nakupa hongera mno mtu akiifuatilia haya yote yanawezekana akiwa nyumbani kwake umetoa detail za kutosha mno. Naomba kuongezea tu na kwamba kila kampuni inatakiwa kuanza kwa kuupdate information zake na ni vyema kufanya hivyo mapema na kama hamna hivyo vitambulisho basi mtafute ilie muanze na kufanya annual returns ambayo ni njia mojawapo ya kuupdate taarifa za kampuni. Hongera na Ahsante mno.
Hata mimi nimekwama kwenye hii hatua ukipata solution unijuze.Sipati ushirikiano mzuri na namba za Msaada za BRELA zilizopo kwenye mtandao.
Yan statement ya uwakilishi ndio unajaza Director,owner au partner?Hapo Jaza Director, Owner or Partner yaani inategemeana wewe ni nani katika hiyo kampuni. Na kama ni representative wa kazi hiyo
Yan statement ya uwakilishi ndio unajaza Director,owner au partner?
Asante mkuu wacha tuendelee.Hivyo ndio inataka, Yaani wewe unaiwakilisha kampuni kama nani. Na sheria imeelekeza ni nani anaruhusiwa kuwakilisha kampuni. Ahsante