Mimi Wakuu naomba kufundishwa namna ya kuanzisha Thread yangu mwenyewe (siyo kuchangia) kwenye JF ambapo mimi ni member mwenzenu. Natumia simu aina ya Sumsung Gallaxy Duos GRAND.
Wana JF ombi langu bado halijapata msaada. Naomba mnifundishe kwani eneo ninalokaa huwa lina matukio mengi ambayo mnastahili nanyi muwe mkiyapata hasa kipindi hiki cha Kampeni ya Uchaguzi mkuu 2015.
ingia kwenye jukwaa husika unalotaka kuanzisha thread mfano jukwaa la siasa, halafu juu kulia kuna vile vidot vitatu,fungua hapo, option ya kwanza ni ya kustars a new topic...hii ni kwa jf app....
kwa browser nadhani iko wazi tu,kuna seheme umeandikwa new topic.

Ahsante sana Mkuu nimeona na kuelewa. Mungu akubariki.
Dah ...kumbe wengi Smart phone bado wanabeba kama mapambo tuu...