GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Nawezaje kuplay PVR Video (Videos nazo records toka Azam Decoder) kwenye PC? huwa napenda kurecords videos kutoka kisimbusi cha azam na napata forma inayoitwa PVR kila nikijaribu kuicheza kwenye laptop inakataa hata kwa kutumia VLC.
Je kuna namna ya kuplay hii format kwenye computer?
Je kuna namna ya kuplay hii format kwenye computer?