Mie huwa nakandia samli naichanganya na extra virgin olive oil kidogo na maji ya baridi. Ila wakati nazikaanda natumia mafuta kdg tu...ntakuekea chapati zangu lol uzione
Yap yap
nitajaribu recipe hii mie huwaga nazinunua kwenye mgahawa mmoja mwananyamala lakin sikuwah kujua recipe yake.
however samli kukandia chapati ni nzuri sana manake chapati zinakuwa laini na ladha nzuri sana.
kuna aina nyingine ya chapati nimezila jana zenyewe nazo ni nzuri sana na upish wake unatofauti kidogo na huu wa kawaida ngoja nijaribu kuizpika nikiweza nitawaletea recipe yake.
Happy birthday
mikate mizur dr ntajarbu kuifanya inshallah shukran
Chapati yachomwa haikaangwi. Nacheka na jibu la kongosho eti mfuniko wa sufuria akikupiga nao unatoka ngeu. Chapati ni mlo rahisi na mwepesi kuandaa ukifuata instructions. Mimi kila jumamosi napika chapati za kifungua kinywa jumapili asubuhi na mlo wa jioni siku ya jumatatu baada ya kazi.
njiwa vyakula vyote vinapikwa ila utofauti wake ni kuwa kuna aina nyingi za kupika ikuwepo njia ya kuchomaChapati hapikwi, ya kaangwa
Thx mumy!!
Nitaja achika kwa ajili hii. Nikipika chapati, ukiishika upande mmoja imekakamaa tu kama mfuniko wa sufuria.