Jinsi ya kupata UK Visa

Jinsi ya kupata UK Visa

Mkuu chase your dream
It will takes some times ila
ukiamini utafika pale

Nataka nikupe mifano ya watu wa Nigeria Sipo ughaibuni ila nilipo nakutana nao
Wana spirit ya ajabu na confidence ya ambayo nashindwa kuielezea hawa jamaa ni washenzi sana kuna wakati na mimi hua najifanya mnaigeria ili niweze kupata baadhi ya vitu kwa haraka japo lafudhi yao inanishinda kidogo

usifunje sheria tu lakini hawa jamaa wanatengeneza ndoa fake ,magonjwa fake,familia fake na sababu fake kibao na wanaingia UK kupiga kazi sana na kwenye mzigo wapo smart balaa ni akili flani ambazo wao wana imani kali sana juu yake

Na sio ndoa tu zipo deal nyingi mpaka unaweza kuchoka kwa jinsi hawa jamaa wanavyopenya kwenye hizi nchi zenye sheria kali za Visa na kisheria wanakua hawajazivunja

Sisi bado hatujapata changamoto nyingi za kimaisha kupambanua uwezo wetu wa kufikiri masuala ya kupitia Eastern Europe ni janja za kiuoga maisha yanaweza kukupiga sana hapo katikati na usitamani kwenda mbele wala kurudi nyuma
Nu kweli mkuu,kwenye kupambana kuna kupata na kukosa,na kwenye kupata kuna challenge nyingi mara dufu.
 
That is Correct.

To be honest namshukuru Mungu nimeishi both US & UK i kno those places well. Nchi za watu ni kuzuri sanaaa nd very addictive despite haya ma expenses na ajira zao mtu ukishazoea kule kurudi bongo ngumu sanaa labda uwe una akili flan ya ziada sanaa au that una malengo ya uhakika.

Pamoja na ma timbwili yote kule watu wakienda hawarudi...mfano ma doctor, nurses, engineers wana make hela ya ukweli tu alaf umwambie mtu aje kuajiriwa muhimbili umpe million kwa mwezi watu hawakuelewi.

Inshort as a professional kule kuzuri sanaa kupata mtaji. As for me nikiotea 5 year work visa....kuna vitu flan navi aim nikiviotea tu. Umaskini naupiga chini for life ni way on another level.

Im just patiently searching for the missing pieces in my puzzle and its DONE.
Nakuunga mkono, maisha ya kule matamu sana, halafu kuna utawala wa sheria ile mbaya, ndio kitu ninacho kimiss kwa hapa bongo. By the way nadhani tumpe mbinu huyu mleta mada aende, ila kama alivyoshauriwa, visa za UK ni kama unataka kwenda peponi, zina masharti sana. Aanzie nchi nyingine za EU, then kutoka hapo ndio aingie UK na kuendelea na maisha mengine.
 
Mkuu kama ulisoma UK ukarudi bongo ndio inakuaje ?? Ufanyaje ili upewe resident permit ??

Maana wale majamaa ni wanabana haswa yan mtu kubaki kule its either uoe ndio upewe 5 year work visa (dem unakuta ushamwambia plan zako)...design ni washenzi sana yani ni kheri mara 100 uende canada.

Kuna kitu watu hawajui tu its easy making money in these developed countries than here kama ukiishi maisha ya kujibana kule. Unaweza save pesa nzuri tu wenzetu wana minimum wages. Huku kwetu pesa yetu iko chini...naturally ajira hazilipi fresh.

I'm talking from experience, ila nilishindwa fanya makeke ku remain kule cz vihunzi ni vingi mno. Ila nigerians nawakubali sanaa ni wanajua kucheza na loopholes balaa.
Mkuu kama ulisoma kule huna aja ya kuumiza kichwa kuitafuta RP, wewe tafuta kazi ili upate work permit, kisha utakaa kwa miaka 5 ukiwa umeishi humo UK kwa zaidi ya 88% bila kuondoka na hukuwahi kuhukumiwa then unaomba RP.
 
Ukikaa vijiweni ndivyo unavyowadanganya wenzako hivi? Nenda ubalozi wa Uingereza consular section uone kama Watanzania hawaombi na kupewa viza.

Mjinga sana wewe na unaishi dunia ya kusadikika.
OK ahsante mkuu
 
Nakuunga mkono, maisha ya kule matamu sana, halafu kuna utawala wa sheria ile mbaya, ndio kitu ninacho kimiss kwa hapa bongo. By the way nadhani tumpe mbinu huyu mleta mada aende, ila kama alivyoshauriwa, visa za UK ni kama unataka kwenda peponi, zina masharti sana. Aanzie nchi nyingine za EU, then kutoka hapo ndio aingie UK na kuendelea na maisha mengine.
That is correct anzie nchi za EU...ila sasa akiingia UK awe mjanja na miji ya kuingia aingie kwanza ile miji midogo gharama za maisha kidogo nafuu then akijipanga aingie miji mikubwa kama London cz kule kazi nyingi at the same time gharama za kuishi ziko juu.

Plus afanye feasibility study ya issue za kazi na kuishi kabla ya kutua kule....ajue kabisa kazi za kutunza wazee zinahusu sanaa tu....ukitaka za office/white collar jobs utangoja sanaa (Simply cz He z not a professional/Skilled worker)...anaweza fanya follow up na agency za kazi na kuwasiliana nao on job requirements akifika pale ye anajua cha kufanya.

Lazma mtu ajenge fikra kwamba mwanzo mgumu uki make vihela una apply hata shule unapiga mi night shift huku anajindeleza skul mi course kama nursing et al....kuna siku lazima atakula kivulini tu.

Again njia rahisi kuingia UK ni kuoa...ila ajue tu ni kwa malengo mzungu we wa nini, hustle for the £'s son. Si lazima ndoa ya kanisa.
 
Niliwahi kwenda UK mwaka 2012 kishule shule, lakini nilitamani kukatiza hata hiyo shule yenyewe, maana niliona maisha ni magumu mno kuliko bongo. Yaani nauli tu ya daladala town trip ni sawa na kwenda moro. maisha ni magumu sana bana. Hiyo pesa ya kwenda nayo huko bora ukafanya mpango wa kuwekeza tu bongo mkuu

Mkuu ulikua ulaya ipi? Maana kuna ulaya vijijini kama Estonia, Romania, Wales etc. Yani mzee hawa jamaa wa hizo nchi wanapiga vibarua vya kulima Australia acha kbs, sasa we ukitoka Tz ukaenda hiyo ulaya lazima ujute
 
Mkuu kama ulisoma kule huna aja ya kuumiza kichwa kuitafuta RP, wewe tafuta kazi ili upate work permit, kisha utakaa kwa miaka 5 ukiwa umeishi humo UK kwa zaidi ya 88% bila kuondoka na hukuwahi kuhukumiwa then unaomba RP.
I kno my dear wonderful.

We tried that tatzo ni ngumu kupata...they will only sponsor u if there is NO UK citizen that can do that job bruv.

Its just not easy, though inawezekana.
 
I kno my dear wonderful.

We tried that tatzo ni ngumu kupata...they will only sponsor u if there is NO UK citizen that can do that job bruv.

Its just not easy, though inawezekana.
Kabisa.
Wenzwetu wana uzalendo sana, kazi lazima apewe mtu wa kwao kwanza, ikishindikana ndio wakufikirie wewe. Kwa sasa, vile vinchi vya Ulaya Mashariki ambavyo vimejiunga na EU ndio vinasukumia watu wao kwenye hizo nchi kufanya manual labor, ndo sababu visa kwa Waafrika zinakua ngumu. Nchi kama Romania, Latvia, Estonia na nyingine ambazo zilikuwa za USSR ya zamani ndizo zinatoa raia wengi sana kwenda kwenye hio nchi kufanya kazi.
 
I kno my dear wonderful.

We tried that tatzo ni ngumu kupata...they will only sponsor u if there is NO UK citizen that can do that job bruv.

Its just not easy, though inawezekana.

Try another avenue mate, hata Brunei unaeza chomoza
 
That is correct anzie nchi za EU...ila sasa akiingia UK awe mjanja na miji ya kuingia aingie kwanza ile miji midogo gharama za maisha kidogo nafuu then akijipanga aingie miji mikubwa kama London cz kule kazi nyingi at the same time gharama za kuishi ziko juu.

Plus afanye feasibility study ya issue za kazi na kuishi kabla ya kutua kule....ajue kabisa kazi za kutunza wazee zinahusu sanaa tu....ukitaka za office/white collar jobs utangoja sanaa (Simply cz He z not a professional/Skilled worker)...anaweza fanya follow up na agency za kazi na kuwasiliana nao on job requirements akifika pale ye anajua cha kufanya.

Lazma mtu ajenge fikra kwamba mwanzo mgumu uki make vihela una apply hata shule unapiga mi night shift huku anajindeleza skul mi course kama nursing et al....kuna siku lazima atakula kivulini tu.

Again njia rahisi kuingia UK ni kuoa...ila ajue tu ni kwa malengo mzungu we wa nini, hustle for the £'s son. Si lazima ndoa ya kanisa.
Shukrani kwa kunifungua macho mkuu,ningepata hata shenghen visa sio mbaya kwa kuanzia.
 
Mkuu chase your dream
It will takes some times ila
ukiamini utafika pale

mifano ya watu wa Nigeria wanashangaza kila sekunde unapokutana nao Sipo ughaibuni ila nilipo tu nakutana nao
Wana spirit ya ajabu na confidence ambayo nashindwa kuielezea hawa jamaa ni washenzi sana kuna wakati na mimi hua najifanya mnaigeria ili niweze kupata baadhi ya vitu kwa haraka japo lafudhi yao inanishinda kidogo

usifunje sheria tu lakini hawa jamaa wanatengeneza ndoa fake ,magonjwa fake,familia fake na sababu fake kibao na wanaingia kupiga kazi sana na kwenye mzigo wapo smart balaa ni akili flani ambazo wao wana imani kali sana juu yake

Na sio hizo tu zipo njia nyingi mpaka unaweza kuchoka kwa jinsi hawa jamaa wanavyopenya kwenye hizi nchi zenye sheria kali za Visa na kisheria wanakua hawajazivunja

Sisi bado hatujapata changamoto nyingi za kimaisha kupambanua uwezo wetu wa kufikiri masuala ya kupitia Eastern Europe inawezekana sana ila kwa wenzetu hii ni janja za kiuoga na kupoteza muda wako maisha yanaweza kukupiga sana hapo katikati na usitamani kwenda mbele wala kurudi nyuma
Bob acha tu....kuna wanigeria kabila la Igbo (Yani tuseme hawa majamaa ni kama Wachagga wa nigeria)...,Walikua wanangu sanaa UK kuna mzee mmoja (Kenyan) akanionya sanaa mwanangu kaa mbali na hawa nigerians sisemi usiongee nao ila ishi nao kwa akili.

Ni washenzi sanaaa......yet very good people if huna tatzo nao. Ndio nilipojua issue hzo za ndoa za makaratasi na magumashi yao mengine kama 5000 hivi. Ni balaa...mi nilikua muoga muoga sanaa so ni walikua watu wangu Batani/Club, Skul na job tu.

Ila ile mijamaa ni mi fighter sanaa.....ukikaa nao lazima utakua mtoto wa mjini tu (usipotoka a bit wiser from them haki ya nani mi fala). Again igbo's are very good people if hauna shida nao. Madem waki igbo ni veeeery street smart.
 
Na vipi wa Igbo wanafanikiwa ku make money lakini?
 
A group of European Countries that have abolished border controls against each other...sasa hapo list ya hizo nchi
ndio wabidi uzicheck.

For America i think ndio maana wanasema ni rahisi kidogo kuingia states kupitia Canada cz boarder controls between Canada & US kidogo ziko loose kuliko useme utoke directly from Bongo to US.

Uzuri wa JF bana ni mgodi unaotembea unaweza pata maujanja humu huto amini.....Binafsi nikiona issue zinabuma kitaa lazma nije humu kwa ma Alhaj. Tehe
Kuingia US kupitia Canada sio rahisi visa inabidi urudi bongo kuiomba.
 
Na vipi wa Igbo wanafanikiwa ku make money lakini?
Si ndio hao mdau anakwambia wana njia zao za kupata mi permit ya kuishi mbele bila kuvunja sheria...wale long time businessmen wana ma biashara ya maduka ya vyakula/nafaka kule Afro-Carribean foods....wana export stuff wengine wana import vyakula, viatu, african outfits kuna baadhi wako njema sanaaa from humble beginnings.

Wengine ni ma nurse, computer whiz. Ki ufupi ni wahangaikaji sanaa. They will only share a few tips to u if they like u nd find u that loyal nd humble type.

Aliyesema uoga ndio umasikini wako hakukosea kabisa. (Dnt break the Law, Manipulate it)
 
Pamoja mkuu.
 
Back
Top Bottom