Jinsi ya kupata UK Visa


umenikosha sana kijana
 
kivipi mkuu, kujilipuaje hapo

Ndugu cha kwanza ulaya ni permit,(kwa majibu wa rafiki zangu ambao wapo huko dunia ya kwanza) na hiyo permit kupata kuna njia nyingi kidogo,ya kwanza kujilipua yani unajifanya mkimbizi uliyekimbia vita katika nchi zenye vita africa kama africa ya kati,sudan,Somalia n.k,so hapo unakana kabisa uraia wa tz na kujipa uraia wa nchi yenye vita hili upate permit,lakin hapa pia ni bahati maana kuna wengine wanafanya hivyo lakini kwa sababu ulitoka na visa africa wanajua kupitia fingerprint hata kama ulibadilisha jina,wanafika wanajua na hawakupi permit na kukujulisha kama wakikumata,ndo pale unasikia mtu ana nyundo kibao hana mbele wala nyuma na yupo mbele,na kuna wengine wana bahati wanajilipua na kitu kinajipa,wanapata permit na maisha yanaendelea,so kila mtu na bahati yake,...Na ya pili ni kuolewa na demu mwenye permit au uraia anaweza pia akafanya ukapata permit kwa ndoa na ndo mana wabongo wengi au waafrica wengi wanaolewa na vibibi kwa ajili ya permit,na nyingine unaweza ukawa mgonjwa wanakupa permit kama dactari anasibitisha kwa maandishi,..Kama mwingine anazijua nyingine anaweza nisaidia
 

Story za vijiweni hizi bwana dah wabongo tuko vzr. Hapo jiulize, wangap wanafanikiwa kwa njia hiyo? Simplest ni viza ya uanafunzi baaasi
 

kwa sisi wenye vitambulisho vya taifa, kura finger print zinatuumbua
 
Asante sana,nimekupata vizuri ila swali la nyongeza,kuna watu wanasafiri na kukaa nchi fulani kwa kipindi kifupi na anapata safari ya kwenda kwingine,je sasa hao wanafanyaje au wanaenda ubalozi wa Tanzania katika hizo nchi? Na kama wanaenda ubalozini je kama hiyo nchi haina ubalozi hadi uende ubalozi uliopo nchi jirani inakuwaje.

Naomba nisaidie hayo maana nisije nikakwama na nauli yangu ikaenda bure.
 
Mfano: unaishi Australia.
Ukiwa Na visa halali unanzia safari hapo hapo ulipo.
 
Mkuu nipe njia hata za kwenda australia ua canada
 
Wakuu,

Naomba kufahamishwa ni vigezo na gharama gani zinatumika kupata visa ya kuingia na kuishi United Kingdom?

Na kama kuna yeyote mwenye ndugu au jamaa anayeweza kunifanikishia visa ya UK.Mimi nipo Tanzania.

Tafadhali tuwasiliane kwa PM
Ndugu kama unataka kwenda saka maisha mazuri bila stress nenda Scandinavian countries kama Norway .. Sweden... Denmark

Ni nchi rahisi kupata visa lkn pia mfumo wao wa maisha ni rahisi sana sana kutoka coz ajira ni za kutosha pia maslahi ni mazuri.
 
Ndugu kama unataka kwenda saka maisha mazuri bila stress nenda Scandinavian countries kama Norway .. Sweden... Denmark

Ni nchi rahisi kupata visa lkn pia mfumo wao wa maisha ni rahisi sana sana kutoka coz ajira ni za kutosha pia maslahi ni mazuri.
Shukrani,vipi umefika salama Australia?
 
Nenda mkuu,explore the opportunities,alaf leta feed back mkuu,nchi imeshakua ngumu hii tayari.
 
Nenda mkuu,explore the opportunities,alaf leta feed back mkuu,nchi imeshakua ngumu hii tayari.
Hii ni Mara ya nne nakwenda so nina uzoefu...

But ktk nchi zote nilizotembelea Scandinavian country ndizo nilizoona na nzuri kwa wakuja!! RAIA wanaoishi kule wana uwezo wakuja nyumbani mpaka Mara NNE kwa mwaka kulingana na vipato kuwa juu na Furaha pia iko juu kule....
 
Story za vijiweni hizi bwana dah wabongo tuko vzr. Hapo jiulize, wangap wanafanikiwa kwa njia hiyo? Simplest ni viza ya uanafunzi baaasi

Haaaa unaona me naleta stori za vijiweni,!!tembea uone dunia watu wanaishije,kuna wabongo wengi mbele wamejilipua na wamefanikiwa lakini hawapendi kuongea ukweli maana sisi wenyewe kwa wenyewe uchongeana kwa immigration,hili kujilinda amwambii mtu labda zaidi ya washikaji wake wa ukweli au familia yake ndo inajua,kumbuka mtu hawezi kukwambia ukweli anaishije ulaya kaka
 
That is very TRUE. Nobody is ever gana tell you how they live nd managed to remain mbelez i.e. UK or US. NEVER !!!

Again it depends how far a person likes u. Very few nigerians will be willing to tell u the truth. Kuna mmoja alikua ni mwanangu mnoooo.....aliniambia na kuni guide on many many things kipindi bado mgeni mgeni UK.

Unakuta watu mmeanza wote skul ila mwenzio ile mna maliza tu shule mwenzako ana 5 year work visa ndio hapo utakapo tia akili mwenzio kapenya penya vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…