Yani kuna ndugu wengine ni kama mzigo wa misumari aseee... Hawabebeki hata theluthi
Mkuu kuna dada mwingine aliishi Sweden alifanyiwa hivyo hivyo na ndugu yake, siku alipopelekwa na kukuta hamna nyumba wala nini , alizimia na alipozinduka akatafuta passport yake akamwaga manyanga..hakutaki kupasikia bongo wala kutuma pesa ..ni majanga I see.
Yani kuna ndugu wengine ni kama mzigo wa misumari aseee... Hawabebeki hata theluthi
waswahili wanasema WASIWASI NDIO AKILISame issue different scenario ilimtokea mzee wangu. Kuna wakati alikua akijenga nyumba yake ya biashara....sasa katika upande wa furniture i.e. milango, vitanda na madirisha akaona ni vizuri hyo kazi ampe mdogo wake wa damu kabisa aifanye ikiwa ni moja wapo namna ya kumsaidia nduguye. Yule uncle alichofanya, acheni tu.
Mzee mpaka kesho hasaidii ndugu.
Hivi asingeweza kutumia hiyo ya Canada kwenda South..na je S.Africa nao wanakubali hizi passport za makaratasi ya kuzungukia E.Africa.
Mf.nina passport ya Tz then nataka kwenda nchi za Asia ambazo hazihitaji mimi kuwa na viza yao then nimekaa nchi tofauti na Tz kwa miezi 3 mf.Nairobi,je naweza kuondokea Nairobi bila kufika tena Tz kugongewa mihuri?
Hiyo ni kama unataka kuwa Mwanafunzi, ila kuna visa za Visiting, ambazo masharti yake ni nafuu kama una fixed assets bongo.Kwa stail hii UK nitaendelea kupaona kwenye tv tu.
Mkuu nenda inbox yako I mean pm yakoJembelamkono umeshapata huo msaada?
Bado mkuu.Jembelamkono umeshapata huo msaada?
Poa mkuu.Mkuu nenda inbox yako I mean pm yako
Mbona sikuoni pm mkuu?Mkuu nenda inbox yako I mean pm yako
Kuna wakimbizi ambao wako kambi za kigoma kila mwaka lazima wapelekwe Canada au USA kwa mamia,ndio hao mnao waona,hata hao warundi wanaomkimbia nkurunzinza ukiwaoji wanakwambia wanataja kwenda Canada,zamani walikuwa wanapitishiwa Nairobi lakini sasa hivi wanapandia kigoma to majuu
Bado wanafanya mkuu,sasa hivi wakimbizi wanaoenda ni wakongo waliokaa mda kidogo tofauti na hawa wa Burundi waliokuja juzi, au kwa msaada zaidi ngoja nipate taarifa za wakimbizi Fulani walimzoea ndugu yangu,so huwa wakija kununua mahitaji wanafikia kwanza shop kwake,wao walikuwa kwenye mpango wa kupelekwa mwaka huu...bado wanafanya hii kitu nikajiunge tu nipelekwe
Mwaga madini hapa mkuu,kwa manufaa ya wengi.Bado wanafanya mkuu,sasa hivi wakimbizi wanaoenda ni wakongo waliokaa mda kidogo tofauti na hawa wa Burundi waliokuja juzi, au kwa msaada zaidi ngoja nipate taarifa za wakimbizi Fulani walimzoea ndugu yangu,so huwa wakija kununua mahitaji wanafikia kwanza shop kwake,wao walikuwa kwenye mpango wa kupelekwa mwaka huu...
Kuna wakimbizi ambao wako kambi za kigoma kila mwaka lazima wapelekwe Canada au USA kwa mamia,ndio hao mnao waona,hata hao warundi wanaomkimbia nkurunzinza ukiwaoji wanakwambia wanataja kwenda Canada,zamani walikuwa wanapitishiwa Nairobi lakini sasa hivi wanapandia kigoma to majuu
bado wanafanya hii kitu nikajiunge tu nipelekwe
Hilo la kuchoma vidole sijui kama kweli lakini warundi,wakongoman na wanyarwanda,hawa watu wapo wengi ulaya na asilimia 90%wamepitia tz kufika pande zile,huwa wanatengeneza mikoba ya tz wakifika huko wanajilipua maana wanakuwa na plan ambazo washapewa na ndugu zao,tatizo sisi wabongo tunalala sanaaaaa halafu waoga sanaaaaa
Kama unaenda kusoma unaweza kuomba visa lakini kama utafuta maisha hiyo visa itakutokea puani ndugu yangu,nina mchz wangu yupo mbele,ana miaka zaidi ya 5,yupo yupo tu,hana permit mpaka leo hii yupo yupo tu aisee na kurudi tz mziki,ukichukua visa hapa bongo lazima ubalozini watakupiga fingerprint,sasa ukifika kule ukitaka kujilipua wakiangalia fingerprint wanakujua aise na wanaweza wakakurudisha mpaka tz,cha muhimu me naona bora upite nchi za western Europe(kama unaenda tafuta maisha ulaya) kama jamaa alivyokuelekeza hapo juu na kumbuka na umri pia,nasikia huko pia umri mkubwa ni tatizo,so jipange kuhusu hayo,watz wengi nje wanataabika sanaaaaa kwa ajili hawana permit za kuishi na akitaka kujilipua wanampiga fingerprint wanakuta tayari yupo katika system,kama unaenda kusoma poa unaweza omba visa ndugu yangu..kila la kheri
Mi naomba msaada wa kwenda kuishi Rwanda sitaki mbali nikikwama ntarudi hata kwa bodaboda