Jinsi ya kupata marafiki jf

Jinsi ya kupata marafiki jf

rich73

Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
20
Reaction score
2
Jamani mie ni mgeni humu ndani, sielewi jinsi ya kutafuta marafiki humu JF naombeni mwongozo wenu.:A S 11:
 
ungekuwa mwanamke ungepata marafiki ndani na nje
 
Unae ngekewa au unataka marafki tu uanze kulialia shida hapa
jst a jokes mkuu
 
Mie na rafiki yako.

Last edited by a moderator:
We tuliza boli tu utaona watu mnashabihiana vitu vingi sana hao ni kundi la kwanza, lakini wapo watu wanajua vitu humu ambavyo huvijui utasoma na kuelewa lakini usiwe mchoyo watu watauliza juu ya uyajuayo eleza!!!!

Watu watagombana humu play your role hata kwa advice tu opely au privately mwisho utajikuta una ndugu humu achilia marafiki!!!!!!

Msome The Boss hapo, kama unaoenda masongi kaa na BAK karibu, kama ni mizinga proof Evelyn Salt huyooo, kama unataka mastory njoo kipande hii ila kula na kulala kwenu!!!!!

Kama kuna mtu anakuletea ubabe tuna Kaka Jambazi humu...lakini ukizingua utapigwa GUMI la pua! !!!!!

Masuala ya njaa supu ya mawe inapatikana au afya mgogoro aje @dr mo. ..???!!!!

Wapo marafiki humu na.ndugu pia!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
katafute pesa tuu, marafiki watakuja "automatically" rich73
 
akaribie na teamrafiki, the best in JF..
 
Last edited by a moderator:
sasa nimeanza kupata uzoefu kidogo. Ahsanteni sana wadau kwa kunikaribisha. Najua wengine watanifikiria vibaya, Lakini ukweli ni kwamba kupata marafiki ni moja wapo ya kuanzisha konection ya vitu vingi tu kubwa ikiwa ni kubadilishana uzoefu wa maisha. Mungu awabariki sana marafiki zangu.
 
We tuliza boli tu utaona watu mnashabihiana vitu vingi sana hao ni kundi la kwanza, lakini wapo watu wanajua vitu humu ambavyo huvijui utasoma na kuelewa lakini usiwe mchoyo watu watauliza juu ya uyajuayo eleza!!!!

Watu watagombana humu play your role hata kwa advice tu opely au privately mwisho utajikuta una ndugu humu achilia marafiki!!!!!!

Msome The Boss hapo, kama unaoenda masongi kaa na BAK karibu, kama ni mizinga proof Evelyn Salt huyooo, kama unataka mastory njoo kipande hii ila kula na kulala kwenu!!!!!

Kama kuna mtu anakuletea ubabe tuna Kaka Jambazi humu...lakini ukizingua utapigwa GUMI la pua! !!!!!

Masuala ya njaa supu ya mawe inapatikana au afya mgogoro aje @dr mo. ..???!!!!

Wapo marafiki humu na.ndugu pia!!!!!!

hahahaha mi natamani kuonja supu ya mawe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom