Jinsi ya kupata marafiki jf

Jinsi ya kupata marafiki jf

Jamani mie ni mgeni humu ndani, sielewi jinsi ya kutafuta marafiki humu JF naombeni mwongozo wenu.:A S 11:
Karibu sana mkuu. Endelea kuchangia nyuzi bila kukosa,bila ubaguzi wa rangi wala jinsi, marafiki huja automatically....
 
We tuliza boli tu utaona watu mnashabihiana vitu vingi sana hao ni kundi la kwanza, lakini wapo watu wanajua vitu humu ambavyo huvijui utasoma na kuelewa lakini usiwe mchoyo watu watauliza juu ya uyajuayo eleza!!!!

Watu watagombana humu play your role hata kwa advice tu opely au privately mwisho utajikuta una ndugu humu achilia marafiki!!!!!!

Msome The Boss hapo, kama unaoenda masongi kaa na BAK karibu, kama ni mizinga proof Evelyn Salt huyooo, kama unataka mastory njoo kipande hii ila kula na kulala kwenu!!!!!

Kama kuna mtu anakuletea ubabe tuna Kaka Jambazi humu...lakini ukizingua utapigwa @gumi la pua! !!!!!

Masuala ya njaa supu ya mawe inapatikana au afya mgogoro aje @dr mo. ..???!!!!

Wapo marafiki humu na.ndugu pia!!!!!!
Akitaka kuja kule ilipo mikoa ya LINDI & MTWARA atatukuta tunamsubiri kwa bashasha...
 
Back
Top Bottom