Sengo Furaha
Member
- Nov 30, 2018
- 8
- 8
samahani wadau kuna mwenye ujuzi jinsi ya kupata line ya lipa kwa mpesa utaratibu gharama na faida zake
Zinatolewa buregharama
Hakuna zile tozo kwa miamala inayofanyika.faida zake
Fika ofisi za voda au kwa wakala ukiwa nautaratibu
asante mkuuZinatolewa bure
Hakuna zile tozo kwa miamala inayofanyika.
Ghalama za kutoa pia ziko chini tofauti na laini ya kawaida.
Fika ofisi za voda au kwa wakala ukiwa na
Pia wapo baadhi wafanyakazi wa vodacom, kwa baadhi ya maeneo, ambapo wanakufuata mahala ulipo, bure bila ghalama yeyote na kukupa huduma husika, unachotakiwa kufanya ni kuwapigia simu na kuwaeleza hitaji lako.
- TIN number
- Lesseni ya biashara
- Maelekezo mengine utapewa ukifika kwenye ofisi zao
Kuna vijana wanazunguka kwenye biashara za watu wanaunganisha wafanyabiashara na huduma ya lipa kwa MPESA. Hili ni sahihi au ni matapeli??Zinatolewa bure
Hakuna zile tozo kwa miamala inayofanyika.
Ghalama za kutoa pia ziko chini tofauti na laini ya kawaida.
Fika ofisi za voda au kwa wakala ukiwa na
Pia wapo baadhi wafanyakazi wa vodacom, kwa baadhi ya maeneo, ambapo wanakufuata mahala ulipo, bure bila ghalama yeyote na kukupa huduma husika, unachotakiwa kufanya ni kuwapigia simu na kuwaeleza hitaji lako.
- TIN number
- Lesseni ya biashara
- Maelekezo mengine utapewa ukifika kwenye ofisi zao
Kuna vijana wanazunguka kwenye biashara za watu wanaunganisha wafanyabiashara na huduma ya lipa kwa MPESA
kwa baadhi ya maeneo, ambapo wanakufuata mahala ulipo, bure bila ghalama yeyote na kukupa huduma husika, unachotakiwa kufanya ni kuwapigia simu na kuwaeleza hitaji lako.
Ndugu ushapata line ya lipa kwa mpesa? Kama bado nichekisamahani wadau kuna mwenye ujuzi jinsi ya kupata line ya lipa kwa mpesa utaratibu gharama na faida zake