Jinsi ya kupata deni lako bila usumbufu

Jinsi ya kupata deni lako bila usumbufu

wakuu kiukweli nimekaa leo na kufikiria madeni nayodai na kujumlisha inafikia kama mil 1 na chenchi ndogondogo

watu ninao wadai hawakatai kunipa ila wanasema nakutafutia wengine naheshimiana nao sana,sasa wakuu kutumia nguvu siwezi

nimekaa nimetafari sina silaha,nguvu sina na maneno mengi sina je nitapata kwa njia gani mimi

kingine kinachoniumiza ni kwamba sina interaction kubwa ya kutafuta ela ndo kwanza nimeanza na ndo ninadai ela yote hiyo sasa nawaza miaka 10 mbele NAUMIA SIPENDI KUDAI OOOH jamani wakuu msada ni njia gani za kutumia udai bila ugomvi

mkuu, mdeni ni mdeni tu hata angekuwa ndugu yako vipi. kama unaona wanakuzingua waburuze mahakamani mpaka kieleweke.
 
chalii angu wana familia labda mmoja ana mke na ndo namdai nyingi sasa mkuu nimuombe nini

muombe akuazime saboufer au hata bodaboda yake uendee mahali, akishakukabidhi ndio nitolee. lazima akulipe tu.
 
Kwa haya maisha ya sasa kukopesha mtu ni kukaribisha lawama tu maana watu hawatimizi ahadi zao. Mimi sasa kukopesha nahesabu kama nimedondosha au kupoteza hela tu, na mtu akinilipa ni kama nimeokota
 
Mkuu mtie kibano mdeni wako cha kisawa sawa atalipa tu .
 
basi nahisi ni wakati muafaka waa kuchukua funguo za gari nilipwe laki 7

na huyu mwingine nichukue labda laptop

Swadaktaa ukidhibiti hivyo utalipwa tu lakini ukisema usubirie wakulee wenyewe utasubiri sana.

Embu tambua na fact hizi.

Katika kukopa na kulipa kuna aina mbili kuu za watu.

1 wepesi wa kukopa but ni wagumu kulipa.
Hawa ndio wale kukopa sheree kulipa msiba.
They believe kulipa ni kutoa bure.
Wengi hutegemea kupata fedha isiyo na matumizi ndio wakulipe, hela isiyo na matumizi haipo, siku zote hela haitoshi.
Sometimes wako radhi wagawe kuliko kulipa. Ili kulipwa na watu hawa ni kukamata mali zao tu.

2 wagumu wa kukopa na ni wepesi wa kulipa. Hawa hawawezi kukopa kipuuzipuuzi, na ikitokea akapopa anakuwa hana amani na lile deni, watu hawa deni huwanyima amani/uhuru. Hivyo basi wako radhi hata kukosa baadhi ya mahitaji yao ili walipe na kuwa huru.

Ikitokea wamekopa na wameshindwa kulipa, wanakuwa wanyenyekevu sana kwa wadai wao. Hawatokukwepa, watapokea simu nk. Wengi hawapendi kukupa ahadi ya asilimia mia kwamba atakulipa siku fulani but atakupa ahadi kwa kazi anayoifanya or namna yoyote anayoweza kupata hela.
...
 
Kweli isee kuna watu unawakopa hawalipi kabsa mi hapa nawadai kama wanne hv.... halafu waliweka promise kulipa wajataja na tarehe lakn hadi leo miezi kama 2. Bora hata aje akwambie bro leo tarehe ya kukulipa naomba muda sijapata, lakn wapo kimyaaaa
 
Tumia radi za Sumbawanga. Unamjulisha kwanza kuwa usiponilipa mpaka wiki ijayo utaona cha mtema nini. asipokulipa unampiga na radi anazimia siku tatu. Akizinduka unamfuata na kumuuliza utanilipa au hulipi?
 
kabisa inabidi kuwa makini na yupi unampa msaada hii ni kuangalia pande zote kama ulivyotaja hapo maana kusaidiana kupo katija maisha
 
Kweli isee kuna watu unawakopa hawalipi kabsa mi hapa nawadai kama wanne hv.... halafu waliweka promise kulipa wajataja na tarehe lakn hadi leo miezi kama 2. Bora hata aje akwambie bro leo tarehe ya kukulipa naomba muda sijapata, lakn wapo kimyaaaa

yaani kukopesha ni kuongeza maadui
 
Tumia radi za Sumbawanga. Unamjulisha kwanza kuwa usiponilipa mpaka wiki ijayo utaona cha mtema nini. asipokulipa unampiga na radi anazimia siku tatu. Akizinduka unamfuata na kumuuliza utanilipa au hulipi?

duh kiboko..ushirikina at its peak!!
 
wakuu kiukweli nimekaa leo na kufikiria madeni nayodai na kujumlisha inafikia kama mil 1 na chenchi ndogondogo

watu ninao wadai hawakatai kunipa ila wanasema nakutafutia wengine naheshimiana nao sana,sasa wakuu kutumia nguvu siwezi

nimekaa nimetafari sina silaha,nguvu sina na maneno mengi sina je nitapata kwa njia gani mimi

kingine kinachoniumiza ni kwamba sina interaction kubwa ya kutafuta ela ndo kwanza nimeanza na ndo ninadai ela yote hiyo sasa nawaza miaka 10 mbele NAUMIA SIPENDI KUDAI OOOH jamani wakuu msada ni njia gani za kutumia udai bila ugomvi

pole sana MD..usiitegemee(doubtful debt)sana..ila nawe mkoseshe amani kwa kumkumbushia mara kwa mara sehemu yoyote ile..mpaka akuone kero..na ajue hujasahau...
 
yaa nadhani hii ni njia nzuri sana
 
pole sana MD..usiitegemee(doubtful debt)sana..ila nawe mkoseshe amani kwa kumkumbushia mara kwa mara sehemu yoyote ile..mpaka akuone kero..na ajue hujasahau...

Ttust me..this will definetely works.
 
Dawa ni kutokopesha......

Au mtu akija umkopeshe 100,000 mpe 30,000 ( hii naitumia kwa wale ninaowaheshimu saaana au kuwaonea aibu) wengine wote waambie huna.

Pia kudai ukishindwa kumface mpigie sinu ukishindwa watumie msg
 
But mimi nlikuwa na mdeni wangu shemeji yangu huyu, nimemkopa almost 3 million hivi...shem konakona zikawa nyingi mwaka na ushee ukakakata ilhali makubaliano yetu yalikuwa baada ya miezi minne bw shem ataleta na Riba...pia tulikuwa geographical barrier kubwa baina yetu.

Nikaona sio big deal..baada ya kurudi likizo nikamuazima kandinga kake niuzie sura mjini..aliponipa tu nikageuza kurudi nako mkoani kwangu. Nkapiga Kiiimya.

Then baada ya incidence hiyo jamaa kapiga cm nikachukue kahela kangu ka madafu!!

Ama kweli! "Action speak louder than words"
 
Dawa kwe

hapo kweli ulimuweza.
 
Back
Top Bottom