Jinsi ya kupata deni lako bila usumbufu

Jinsi ya kupata deni lako bila usumbufu

Kweli inakera sana mtu asiyejali kulipa deni @mleta mada
 
Unampokesha mtu hela tulia tu usiwe na ratiba nayo.
Mie kuna watu nawadai jumla 897,000 toka sept mwaka jana na hapo imepungua toka 2.3M nipo kimya wakipata wanaleta na nkiwakumbusha sitilii maanani.
so kama una vihela vya mawazo usikopeshe tu ni bora aliyotaka kukopa kama shida muhimu umpe robo ya hilo hela kuepusha lawama.
 
pole
kuna watu wameumbwa kulostisha wenzao
na wengine wagumu kulipa
na ukitaka ubaya dai chako
 
pole sana mimi kama wewe kudai siwezi yaani ni tabu tupu
 
Wasamehe wadeni wako saba mara sabini....
 
chalii angu wana familia labda mmoja ana mke na ndo namdai nyingi sasa mkuu nimuombe nini

hao sio waaminifu. Ukizingatia mda mliopangiana kulipana umeshapita, hiyo ni kwamba wamevunja makubaliano yenu. Haikuishia hapo, licha ya kuwavumilia kwa siku nyingi kutoka mda mliopangiana kulipana hapo wamedharau uvumilivu wako. For sure umeshaonesha utu wako kwa kuvumilia bila ya kuchukua hatua nyenginezo.

Be aware of those [above] facts.

What you want is your right.
Refer there two main ways of aquire right.
1 by peaceful means.
2 by force.

If peaceful means fail, use force. Haya maneno nimemsahau aliyesema.

What kind of force that u need to use without further hostility?

Simple. Tafuta kitu chake chenye thamani or kinacholingana na thamani unayomdai na kiweke ktk himaya yako.

Hapo ni lazima akulipe na akishindwa tena kwa muda uliompa baada ya kushika mali yake, uza kata hela zako kama hela itabaki unaweza kumrudishia vilevile unaweza kukata na hela ya usumbufu.

Ukifanya hivyo utapata hela zako. Na nakuahidi hawezi kukushtaki na hata akifanya hivyo hawezi fanikiwa unless kusiwe na ushahidi unaotosheleza kwamba kweli unamdai.

Cheka na nyani uvune mabua.
 
Kudai huwezi, ila kutukana imani za watu ni bingwa.. what an amazing human being..!
Eti??? Hivi kumbe huyo jamaa, ni bingwa wa kutukana imani za watu wengine?

Ni vyema, umetupa hiyo information, tumetambua
 
Unampokesha mtu hela tulia tu usiwe na ratiba nayo.
Mie kuna watu nawadai jumla 897,000 toka sept mwaka jana na hapo imepungua toka 2.3M nipo kimya wakipata wanaleta na nkiwakumbusha sitilii maanani.
so kama una vihela vya mawazo usikopeshe tu ni bora aliyotaka kukopa kama shida muhimu umpe robo ya hilo hela kuepusha lawama.

Aisee umesema kweli amu mi nlishaamua sikopeshi na vihela vyangu vya mawazo hivi niliogombana nao wanatosha
 
Last edited by a moderator:
hao sio waaminifu. Ukizingatia mda mliopangiana kulipana umeshapita, hiyo ni kwamba wamevunja makubaliano yenu. Haikuishia hapo, licha ya kuwavumilia kwa siku nyingi kutoka mda mliopangiana kulipana hapo wamedharau uvumilivu wako. For sure umeshaonesha utu wako kwa kuvumilia bila ya kuchukua hatua nyenginezo.

Be aware of those [above] facts.

What you want is your right.
Refer there two main ways of aquire right.
1 by peaceful means.
2 by force.

If peaceful means fail, use force. Haya maneno nimemsahau aliyesema.

What kind of force that u need to use without further hostility?

Simple. Tafuta kitu chake chenye thamani or kinacholingana na thamani unayomdai na kiweke ktk himaya yako.

Hapo ni lazima akulipe na akishindwa tena kwa muda uliompa baada ya kushika mali yake, uza kata hela zako kama hela itabaki unaweza kumrudishia vilevile unaweza kukata na hela ya usumbufu.

Ukifanya hivyo utapata hela zako. Na nakuahidi hawezi kukushtaki na hata akifanya hivyo hawezi fanikiwa unless kusiwe na ushahidi unaotosheleza kwamba kweli unamdai.

Cheka na nyani uvune mabua.

basi nahisi ni wakati muafaka waa kuchukua funguo za gari nilipwe laki 7

na huyu mwingine nichukue labda laptop
 
Unampokesha mtu hela tulia tu usiwe na ratiba nayo.
Mie kuna watu nawadai jumla 897,000 toka sept mwaka jana na hapo imepungua toka 2.3M nipo kimya wakipata wanaleta na nkiwakumbusha sitilii maanani.
so kama una vihela vya mawazo usikopeshe tu ni bora aliyotaka kukopa kama shida muhimu umpe robo ya hilo hela kuepusha lawama.

sikopeshi tena

kama mtu ana shida nampa unga akapike
 
Back
Top Bottom