Hii ndio natumia mimi haijawai kuniletea kwikwi hata siku moja.Mkuu fanya hivi.....ukishaplay video unaenda pale kwenye addres...mfano....www.youtubemusicanold.com.....sasa wewe pale baada ya www. Ongeza double ss....like this.....www.ssyoutubemusicanold.com then seach hapo utaweza kufownload
Mzee hii inahusisha copy n paste ya link naijua na siitaki.Tumia Ummy Video Downloader
Hakuna haja ya downloader. Play win no ukianza usimamishe afu baada ya http weka as ndogo piga enter utakuletea options za kudownload.
Mkuu fanya hivi: ukishaplay video unaenda pale kwenye addres, mfano: www.youtubemusicanold.com. Sasa wewe pale baada ya www. Ongeza double ss, like this: www.ssyoutubemusicanold.com then seach hapo utaweza kufownload
Basi tumia Internet Download Manager (IDM) maana yenyewe uki-play video ndo inaleta sehemu ya download au tumia UC Browser na yenyewe ni ya kugusa tu hakuna copy n paste ya link.Mzee hii inahusisha copy n paste ya link naijua na siitak
Download browser inaitwa Torch Browser ukiinstall fungua youtube.
Wakati youtube vixeo ina play pale juu kabisa kulia kuna arrow ina point down ya kudownload. Bofya hiyo haikataii
Progress ya download utaiona pale chini kushoto kwako kwenye browser.
Ikianza kudownload stop video inayo play.
Unaweza pia kwenda kwenye downloads menu ya torch ili ukiwa huko ufunge hii tab ya video unayodownload. Downloads zitaendelea tu ila zile ulizofungua zina close ili i save bando kwa ku close tab.
Kumbuka ita down load quality uliyoset.
Unaweza kudownload hata 10 vodeos mradi una bando mradi ufuate utaratibu huu.
HALAFU URUDI HAPA LETA MREJESHO. HII HAIGOMI HAMNA LINK ZA KUPASTE INA CLICK ONCE. KAMA UNATUMIA MITANDAO OVYO KAMA TIGO UTALIA.
KWA KUDOWNLOAD HAKUNA KAMA HALOTEL.
Jiheshimu kdgoUmetumia niliokupa comment #4 naona hujui unataka nini watu kibao wamelupa nondo kali una shangaa shangaa
Pamoja sana nitaji heshimu kama ulivyoniasa wakati huo endelea kufurahia nondo kali sana nimekupa.Jiheshimu kdgo
Pamoja sana nitaji heshimu kama ulivyoniasa wakati huo endelea kufurahia nondo kali sana nimekupa.
Hii kwa sasa chenga.Tumia Ummy Video Downloader
Hii chenga nayo siku hizi unaweza tu amka ukakuta wameondoa uwezo wa kudownload YouTube videos.Zama Google andika VIDEODER for PC idownload ina MB 24 tuu halafu ifungue ipo kama Youtube unadownload mpaka audio pia ukitaka unaweza ukaconvert video kuwa audio sio zilizopo youtube tuu, hata ulizonazo kwenye PC yako