Tish
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 362
- 209
Hakuna cha ban videoder inapiga kaziInakataa hii mkuu sasa hivi.
Ummy pia inagoma
Yaani naona google wanazipiga bunn
Hakuna cha ban videoder inapiga kaziInakataa hii mkuu sasa hivi.
Ummy pia inagoma
Yaani naona google wanazipiga bunn
Hii ndo zebest na nirahisi kutumia na weza kusema ni alternative ya youtube iliyoboreshwa.
Kama una bando nenda kwenye browser search videoder latest apk utaipataNipe wewe link ya hiyo videoder yako me kwangu inagoma. Ni kwa pc lkn sio simu.
Kwa simuKwa simu.
Videoderunatumia app gani
Videoder
wewe unatumia kwenye pc au kwenye simu?Kama una bando nenda kwenye browser search videoder latest apk utaipata
Simu ndugu wewe ulikuwa unahitaji kwenye pc?wewe unatumia kwenye pc au kwenye simu?
lugha gongana me nazungumzia kwenye pcSimu ndugu wewe ulikuwa unahitaji kwenye pc?
Unaitafutia wapiasante ila sipati option ya youtube inaniletea vimeo videos
Ok utafanikiwa tu maybe kuna tatizo mahalilugha gongana me nazungumzia kwenye pc
kwenye simu sio ishu maana vidmate inamaliza kila kitu
Unaitafutia wapi
youtube ndio nahisi wameburn maana mbinu nyingi now zinafeliOk utafanikiwa tu maybe kuna tatizo mahali
inaleta direct vimeo
nimejaribu videorder inafanya vizuri tuyoutube ndio nahisi wameburn maana mbinu nyingi now zinafeli
ngoja niifute harafu niiweke upya. naambiwa video supported link imeondolewa
ila inaonekana yangu ipo uptodatengoja niifute harafu niiweke upya. naambiwa video supported link imeondolewa
current version ya videoder yako ni ipi?
Version hio hio angalia just kulia kwenye screenshot yangu.ngoja niifute harafu niiweke upya. naambiwa video supported link imeondolewa
current version ya videoder yako ni ipi?
yangu ni 1.0.9
Version hio hio angalia just kulia kwenye screenshot yangu.