tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 21,859
- 18,282
Asante sana mkuu kwa taarifa hii murua. Mwanzo nilikuwa natumia Ummy video dowloader, inafanya kazi vizuri sana kwenye PC yangu. Baadaye walianza kunicharge nikaachana nayo. Kama kuna mtu atafanikiwa kudownload hii Ummy downloader bila kudaiwa fedha, atujulishe. Inawezekana mm nimevamiwa na wezi wa mtandaoni wakawa wameifunga. Tupeane updates hapa hapa ndugu zangu. Pamoja sana.