Baada ya kuinstall realplayer fanya hivi ili kudownload videoskiongozi nashukuru nime-instal real player ninayo kwenye pc yangu but bado siwezi kudownload
Kama umefanya hivyo na hauwezi kudownload, inawezekana ni browser unayotumia.kiongozi nashukuru nime-instal real player ninayo kwenye pc yangu but bado siwezi kudownload
Downlload Real Player, then ukitaka any video kwenye youtube, fungua hiyo kutumia real player browser, then utapata option ya kudownload.
Tumia Internet Download Manager
Lakini mkuu, as long as I know real player unatakiwa ku ilipia, au sivyo?
download hii..Download Orbit Downloader 4.0.11 - FileHippo.com ni nzuri zaidi ya real player A S 465:
tumia firefox browser then download na uinstall plugin iinaitwa "video download helper", ukiisearch hiyo plugin kwenye website ya firefox utaipata. then ukishainstall unaweza kudownload video za youtube na zingine nyingi kwenye website tofautitofauti ikiwa ni pamoja na miziki toka kwenye online radios.
Hapana Real player Basic hulipii, ikiwa unataka Real Player Plus ndio inabidi ulipie.
Mkuu brakelyn nimefollow iyo link nikafika hapa. Ni button gani ya kuclick ili i-download? samahani mimi sio pro ila naelekezeka, asante.download hii..Download Orbit Downloader 4.0.11 - FileHippo.com ... ni nzuri zaidi ya real player.............:A S 465: