Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

Nimechoka kuwa mtazamaji ngoja na mimi leo niwakilishe.Nazungumzia namna ya kumpata demu mzuri wa umbo + sura si mnajua matoz hawapendi vinyago.

1/Jiamini
Mtoto wa kiume jiamini kwamba wewe no bora kuliko wengine haijalishi wewe ni kula kulala wala mini mtoto atakushobokea tu.

2/Kuwa smart
Kismart dili bhana sio unataka mtoto mkali halafu unavaa kizobazoba tu msichana ataona so kutembea na wewe.
Darasa la kupigilia pamba kijanja

Utoke vipi kitaa?

3/Usiwe domokaya
Ukimtaka msichana mkali punguza kodomodomo elewa yeye anajijua uzuri wake ongea maneno ya point tu lazima akae.

4/Usiwe na kiherehere
I mean unamtaka msichana sasa unaanza kiherehere sojui cha kujifanya una mkwanja ooh sijui nini,elewa mtoto mkali lazima awe na kibuzi wewe mega tu kisela si anataka penzi?

4/Acha maigizo
Watoto wakali hawapendi vidume vyenye maigizo kama ya bongo movie, wanapenda mapenzi kutoka kwa mayanki, ishi kama ulivyo isije ukaigiza alafu agundue una magumashi.Be real

***wewe unachunwa, mi' namega kisela****

Handsome wa Uswaz
The Bitoz
Pesa iko wapi? Kuna mtoto mkali utampata bila pesa siku hizi?
 
Pesa iko wapi? Kuna mtoto mkali utampata bila pesa siku hizi?
Kusoma mada ni jambo 1 ...kuelewa sasa ni kitu kingine!!

Answer is YES
Ww na bichwa lako la chogo honga demu lkn akikutana na handsome maskini lazima amegwe kisela...wahongaji ni wale ambao hawajiamini
 
Kuna mshkaji mnaijeria huko urusi alipata demu mkaliiiii kipindi cha summer, demu akamwambia waende kuogelea jamaa akakubali ila alikuwa hawezi kuogelea, wakaenda moscw river una kina kirefu sana demu kajitosa kaogeleaaa katoka, jamaa naya kajitosa .. Dadeki .. Akanywa mimaji akafa.
Huyo kafa kijerumani na tai shingoni ,hawa watoto yamoto na nzi kufa kwenye kidonda ...masihara!
 
Kusoma mada ni jambo 1 ...kuelewa sasa ni kitu kingine!!

Answer ia YES
Ww na bichwa lako la chogo honga demu lkn akikutana na handsome maskini lazima amegwe kisela...wahongaji ni wale ambao hawajiamini
Mwanaume hasifiwi sura kijana.
 
Bitoz wangu nyangema chukua tano, sema design hizo silaha zooooote zinamezwa na kitu pesa umate umate, mpunga, ukiwa na rasilimali fedha hata kama una kibamia huachwiii
 
Bitoz wangu nyangema chukua tano, sema design hizo silaha zooooote zinamezwa na kitu pesa umate umate, mpunga, ukiwa na rasilimali fedha hata kama una kibamia huachwiii
Mkuu .....mi sijamaainisha kupata demu wa kumiliki.......yaani hata km ana kibuzi chake chenye chogo na kibamia mi sijali...namega tu kisela
 
Wazima mkuu
Vipi bado unaendelea tu kujisaidia porini + kuchunga ng'ombe & kupalilia mipapai
Duh kitambo sana tangu tuonane Posta
oooh mbona nilishajenga choo kitambo mkuu, tena kipo ndani ya nyumba. na ng'ombe siku sichungi mimi bali nimeajiri vijana wanapga kazi then mi nimeona niamie mbeya mjini kwa ajili ya biashara nyngne, afu siku tumekutana posta ulinambia unamkubali sana shilole na mpango wa kumtafuta diamond akutoe, ulifanikiwa? nikumbushe nimesahau, mana nlikuja mara moja na kugeuza mbeya.
 
Hongera zako basi..... Ukija utayakuta yale malapa yako nimekutunzia pamoja na pamba zako ziliotoboka km gunia

Karibu tena Joto City
 
Back
Top Bottom