zeborooney
Member
- Jul 31, 2014
- 84
- 13
hahaaa co kivle braza
Pesa sumaku, utapata kila kitu plus mademu wakali.Kwahiyo maisha yakitafutwa ndo mtu asiwe hata na mpenzi?
Hujajibu swali.Pesa sumaku, utapata kila kitu plus mademu wakali.
Swali hawezi kujibu hilo si unajua wkt akiwa mpori pori anachunga ng'ombe alikuwa "anatest" mifugo ....sasa anataka na sisi tuigeHujajibu swali.
Kwahiyo mtu akitafuta pesa ndo asiwe na mpenzi????
all qns and all problemsFor question #......
Hilo nalo ni tatizoSwali hawezi kujibu hilo si unajua wkt akiwa mpori pori anachunga ng'ombe alikuwa "anatest" mifugo ....sasa anataka na sisi tuige
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio Mimi mutu Yao....!Mutu ya watu....
Hahahahhaha kirahisi tuu mwanamke aje geto labda umtoe mpitimbiUmezoea kuhongwa....ukinikatalia si wengine wana shida na mahaba wanakuja ghetto