Nimechoka kuwa mtazamaji ngoja na mimi leo niwakilishe....
Nazungumzia namna ya kumpata demu mzuri wa umbo + sura si mnajua matoz hawapendi vinyago
1/Jiamini
Mtoto wa kiume jiamini kwamba wewe no bora kuliko wengine haijalishi wewe ni kula kulala wala mini mtoto atakushobokea tu !!
2/Kuwa smart
Kismart dili bhana sio unataka mtoto mkali halafu unavaa kizobazoba tu...demu ataona soo kutembea na wewe
3/Usiwe domokaya
Ukimtaka demu mkali punguza kodomodomo elewa yeye anajijua uzuri wake....ongea maneno ya point tu lazima akae
4/Usiwe na kiherehere
I mean unamtaka demu sasa unaanza kiherehere sojui cha kujifanya una mkwanja ooh sijui mini....elewa mtoto mkali lazima awe na kibuzi wewe mega tu lisela si anataka penzi?
4/Acha maigizo
Watoto wakali hawapendi vidume vyenye maigizo km ya bongo muvi, wanapenda mapenzi kutoka kwa mayanki .....ishi km ulivyo isije ukaigiza zen agundue una magumashi...Be real
***ww unachunwa, mi' namega kisela****
Handsome wa Uswaz
The Bitoz