Jinsi ya kuongeza wingi wa MBEGU

Jinsi ya kuongeza wingi wa MBEGU

Sina mambo ya wanawake lkn nimejiwekea mazoez ya kutafuna mbegu hizo kama tiba mwlini pia ni dawa ya tumbo wale wenye vitambi inasafisha uchafu tumboni.lkn nakushauli utafune usiku au upo home tu maana ukitafuna na ukaenda job au ukasafiri utajuta maana tumbo linavutugika htr uchafu wote utatoka kwa njia ya haja.kwa hiyo bac mm nilitafunaga mfano SAA 4 ndo nalala naweza kusimamisha tena sina hamu na mwanamke lkn unakuta mzigo umesimama BC napuuzia na lala lkn nikiamka lbda nimeshituka usiku SAA 8 au 7 nakuta mzigo upo vilevile kama moja.kwahyo nachofanya ni kwenda mazoezini.kifup mm sina Mishe na wadada sana kwahyo mazoez pia husaidia
 
Vitunguu saumu sio vya kuzidisha kwenye mlo mmoja maana husababisha ongezeko la mapigo ya moyo. Kila kitu kitumiwe kwa kiasi, hakuna kombe la kutoa mbegu nyingi fanya jitihada kwenye mambo ya msingi
This is what I meant at first place. Kila kitu kwa kiasi, sasa we jifanye unatafuna tafuna kila ulipo hayo mavitunguu swaumu, kwanza mdomo utakuwa unanuka muda wote pili, pressure inakugongea hodi bado hujakutwa na majanga ya kupasuka kwa mishipa ya damu.😆😆
 
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu
Kulla vitunguu saumu.

Thanke mi leita [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji19]View attachment 2546328View attachment 2546329
HAYA NISHAKULA MAVITUNGUU SWAHUMU NILETEENI HUYO PAULA NA KAJALA SASA NIYAPUNGUZEPO😎
 
😂😂Ushauri Wa Mavitunguu umetupa Bure..Kuyapunguza mwilini Tukatumie Pesa Zetu..😂😂 Hii Dunia bhanaa ndomana Yesu hata Alipofufuka siku ya3 Alipaa Aliona kbsa Hku ni Weka mbal na Watoto
 
😂😂Ushauri Wa Mavitunguu umetupa Bure..Kuyapunguza mwilini Tukatumie Pesa Zetu..😂😂 Hii Dunia bhanaa ndomana Yesu hata Alipofufuka siku ya3 Alipaa Aliona kbsa Hku ni Weka mbal na Watoto
Kuna CHAPUTa ni self service hio pia 😑🥵🥵
 
Cha- chama cha
Pu- puchu
Ta- Tanzania

👻🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ulidhania ni bidhaa daaah asee ushamba mbaya sana
😂😂😂Ushamba ni bidhaa Adimu mkuu..Ukitaka kuamini Roma alikuwa Mjanja mwisho Akaenda Zimbabwe akatuacha Washamba Hapa😎
 
Back
Top Bottom