DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,484
- 32,755
Mimi ni mwaisa mtu mbadi 😀😀 pure toka tukuyu mwakaleliHiyo nkamu nani kakufunza?
Unyama ulipoanzia
Mimi ni mwaisa mtu mbadi 😀😀 pure toka tukuyu mwakaleliHiyo nkamu nani kakufunza?
😳Wee,sema kweli?Mimi ni mwaisa mtu mbadi 😀😀 pure toka tukuyu mwakaleli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapo sasa🤣🤣
Labda anataka uwe kama jogoo, kila ukidonoa punje ya mchele unataka kupanda tetea 🤣🤣
Amini sema born town😂😳Wee,sema kweli?
Ooh,hapo sawaAmini sema born town😂
Sawa in other side ulaji uliozidi una madhara pia, kula kwa wastani.m coz Mambo ya mbegu ni natural body secretion.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bro bro acha mi zimenisaidia sana aseee vitunguu saumu ni muhimu sana kwenye lishe ya kidume mkuu trust me
#NENO....✅KWanza tofautisha mbegu na nguvu za kiume.hivyo basi kila mwanaume hata kama ni SHOGA ana mbegu tena kwa siku huzaliswa mwlini 75% kwahyo shida inakuja katika nguvu za kiume
Sperm secretion is non stoppable process. It takes place in every second no matter what kind of food you're eating though vyakula vya protein ndio chanzo chake kikuu. Acha kuhalalisha jambo la kibaradhuli kwenye jamii iliyostaharabika. Wanawake wote hawa masterbation ya nini?
😒😒🙌Sawa in other side ulaji uliozidi una madhara pia, kula kwa wastani.m coz Mambo ya mbegu ni natural body secretion.
Kuna mdau hapo kasema kuwa vinasababisha damu ishindwe ku clot what if ukapata ajari au jeraha kubwa, unazani kifo utakiepuka?
Mrongemronge unapatikana wapi 🤔Dawa ni mrongeronge,weka mazoea ya kutafuna mbegu 5 za mrongeronge kwa siku,utanikumbuka.yani umeweka mdomon unatafuna hapohapo kitu kama moja.pia mbali na mambo hayo ni dawa nzr ya magonjwa mengine.mbegu nazo lkn nikitafunaga huwa najiona tofauti mwli mzima pia natafuna kujikinga maana hakiba haiozi
Popote upo hata hapa dar upo.nakwambia utanikumbuka ukitumia .tafuna mbegu zake ziko kama karangaMrongemronge unapatikana wapi 🤔