Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Naombeni msaada kwa anayejua dawa ya kuondoa madoa yatokanayo na kuungua kwa jua usoni hasa maeneo ya chini ya macho.
 
naombeni msaada kwa anayejua dawa ya kuondoa madoa yatokanayo na kuungua kwa jua usoni hasa maeneo ya chini ya macho
jamani wataalam wa maswala ya ngozi plz naomba msaada au wale wadada wa issue za urembo nisaidieni namna ya kuondoa haya madoa ya kuungua na jua
 
jamani wataalam wa maswala ya ngozi plz naomba msaada au wale wadada wa issue za urembo nisaidieni namna ya kuondoa haya madoa ya kuungua na jua

Nipo na herbal cream za chunusi na scrub kama unahitaji zinatibu na kumaliza.
 
Habari wapendwa!

Naomba kuuliza aina ya dawa au mafuta yakutoa mabaka baka ya cream kwa mwanamke kama ikimkata, asante na dada anatatizo hilo.
 
Kwa nini alijipaka cream lakini.....?.....anyway apake vaseline tu maana hakuna namna..........
 
Tumia udongo wa ant Zainab ni koboko, anaweza fanya scrub yenye apricot mara kwa mara.
 
Kaka angalia kuna watu wanaweza kukuambia kuwa wana dawa hiyo kwa sababu wanajua una shida na hiyo dawa na wao wanataka pesa yako ili wakulie. So kuwa makini kuna matapeli vile vile.
 
Njoo S&E BEAUTY SOLUTIONS.
Tupo Temeke, Dar es salaam ; ila tunaweza kuja kukuhudumia ulipo.
Mawasiliano : 0659528724, 0784082847
 
Huyo mwenye chunisi inamaana USO wake unamafuta mengi,chemsha maji yamoto alafu jifukize mvuke wake
 
Habari wapendwa!

Naomba kuuliza aina ya dawa au mafuta yakutoa mabaka baka ya cream kwa mwanamke kama ikimkata, asante na dada anatatizo hilo.

Nenda famancy nunua dawa inaitwa persol ziko za aina tatu

Persol 2.5
persol 5
persol fort cream
Izo ndo dawa za kutoa madoa or acne vurgalis

Sasa hapo unashauliwa utumie 2.5 kwa ku initiate then unaweza tumia fort cream

Ila kwa matokeo ya haraka kama unaitaji tumia fort cream persol utaona impact ndani ya week moja na ukizidi kutumia utaona zaid matokeo ila sasa kwa hii fort cream inakubidi ukae ndani kama week moja au mbili

Kwasbb hukusanya ngozi ya uso ilio adhirika na mabaka na kuwa kama ya bibi kizee makunyanzi baada siku kuzaa huanza kujiabandua na kubaki na ngozi mpyaa hapo ndio madoa yanabanduka kwa staili iyo unakuwa soft na new skin

Wakat unapaka iyo dozi usitumie sabuni za kuchubua tumia za kawaida kabisa na wala usipake lotion za cream yoyote au mafuta aina ya greasy

Pia huzuia pimples hizi fort cream
 
Habari wapendwa!

Naomba kuuliza aina ya dawa au mafuta yakutoa mabaka baka ya cream kwa mwanamke kama ikimkata, asante na dada anatatizo hilo.
wangu tumia Shahawa ya mwanaume kupaka usoni. Hutoamini nakwambia inatoa chunusi harara makovu hata mabaka usoni. Pakaa shahawa uso mzima kaa kwa dakika 10 then nawa na sabuni.
 
Tafuta mafuta yaitwayo blackseed oil, paka usoni kabla ya kwenda kulala. Kwa siku kadhaa kisha angalia matokeo take mafuta haya pia hutibu maradhi kadhaa ukiamua kuyanywa!! Mchana tafuta easy cream isiyo na hydroquinon.! Hii waweza paka mwili mzima.
 
Back
Top Bottom