Real One
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 2,158
- 1,881
wangu tumia Shahawa ya mwanaume kupaka usoni. Hutoamini nakwambia inatoa chunusi harara makovu hata mabaka usoni. Pakaa shahawa uso mzima kaa kwa dakika 10 then nawa na sabuni.
Aiseee
wangu tumia Shahawa ya mwanaume kupaka usoni. Hutoamini nakwambia inatoa chunusi harara makovu hata mabaka usoni. Pakaa shahawa uso mzima kaa kwa dakika 10 then nawa na sabuni.
Habari wapendwa!
Naomba kuuliza aina ya dawa au mafuta yakutoa mabaka baka ya cream kwa mwanamke kama ikimkata, asante na dada anatatizo hilo.
Nina ngozi ya mafuta PretaPicha hazifunguki....,lakini ikijiangalia una ngozi ya aina gani......dry....normal.....combination......au oily......?
Nashukuru sana. Nitaenda ila niliwahi kwenda kwa Kairuki nikapewa cream flani hivi ambayo nayo haikunisaidia.pole sana,nenda kamuone dr wa ngozi;TMJ HOSPITAL
Nashukuru sana. Nitaenda. Ila niliwahi kwenda kwa Kairuki nikapewa cream flani hivi ambayo nayo haikunisaidia.
Nikaelekezwa kwa wakongo fulani kuwa wao wanatengeneza dawa ya asili. Nikatumia dawa zao, pia hazikunisaidia
Kweli eeeh!! Kwa hiyo nilitakiwa nipake vya dry skin? Au combination ya oily na dry!!!?Pole.....vizuri ukamuone dr wa ngozi.....
Ila pia kuna mahali unakosea......hivyo vyote ulivyopaka kujitibu ni kwa ajili ya oily skin.....?.....
Nina miaka 30 sasa hili tatizo lilinipata nikiwa na miaka 27 hadi sasaAu umri shosti.......?.....maana kuna stage ukifikia......unanawiri kidogo mafuta yanajaa mwilini......
Kweli eeeh!! Kwa hiyo nilitakiwa nipake vya dry skin? Au combination ya oily na dry!!!?