Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Kutokana na kuapply a lot of chemicals hadi sasa,nadhani,u should give a break to your face kwa muda hivi nadhani huenda ikasaidia. Inaonesha inakukera sana uso huupumzishi,safisha uso kwa maji vuguvugu na sabuni zisizo na kemikali kisha upake mafuta ya nazi asubuhi na jioni.
Yummie, Asante sana. Ni kweli, sijaupumzisha uso huu
 
acha kula vyakula vya mafuta kabisa kwa wiki kma tatu kwanza kunywa maji kabla ya msosi wako wowote na asubuh unywe maji glass moja tu

navyoomaanisha uache kula vyakul vya mafuta acha kabis we kula vitu vya chemsho hata wali ukipiki basi vikombe viwil kijik kimoj am serious achan na vyakula vya mafuta
 
pole sana mkuu.
tatzo ninaloona nahisi ulihitaji matokeo ya haraka unaweza ulichanganya hizo cream(tube)nyingi kati hazishauriwi kutumiwa zaidi ya wiki mbili,fanya yafuatayo:-

binafsi natumia Grace products,na zinanipa matokeo,umesema umeshazitimua zijaribu tena kwa mwezi mmoja ile sabuni na losheni

kunywa maji mengi
kula vyakula na mbogamboga na matunda (fibre yake itakufaa) tumia aina moja ya tiba acha ku"confuse" ngozi
kama uko ndoani ,make a great deal of sex (sex with purpuse) sex ni tiba kwa magonjwa mengi,leta mrejesho baada ya wiki,utakua different.(nina waswas na "life sex yako"
NB:Usisahau. hill "stress" anaharibu nguzi,epukana nae!
 
Pole sana.

Jaribu tiba mbadala, dawa za kienyeji kutoka India. Muone tabibu asili, Dr. Shashtri kutoka India, ana duka Arusha na Dar (karibu na soko la Kariakoo)
0754 201 666,
0752 921 060,
0784 486 411.
Ongea na doctor mwenyewe.

Jamani ndugu zangu, dada yenu ninakuja kwa heshima kubwa kuomba msaada wenu, japo wa mawazo tu.

Nimetokewa na mabaka meusi usoni (katika mashavu). Mabaka hayo yamechanganyika na chunusi mwaka wa tatu sasa.

Nimejaribu kutumia dawa na vipodozi mbalimbali lakini sijaona mafanikio yoyote.

Miongoni mwa madawa/vipodozi nilivyotumia ni sonaderm cream, Safi cream, epiderm cream, bidhaa za Forever Living, bidhaa za Oriflame, bidhaa za Grace (Zoazoa), asali na mayai na nyingi nyingi nyingi.

Pamoja na kutumia madawa na vipodozi hivyo, bado tatizo lipo pale pale.

Ninaleta kwenu tatizo langu, nisaidieni. Maana ninaanza kuichukia sura yangu.

Nitumie dawa gani? Nipo tayari kwa bajeti yoyote

Picha nimeambatanisha hapo chini.[/QUOTE]

Picha nimeambatanisha hapo chini.
 
acha kula vyakula vya mafuta kabisa kwa wiki kma tatu kwanza kunywa maji kabla ya msosi wako wowote na asubuh unywe maji glass moja tu

navyoomaanisha uache kula vyakul vya mafuta acha kabis we kula vitu vya chemsho hata wali ukipiki basi vikombe viwil kijik kimoj am serious achan na vyakula vya mafuta
Asante. Nitazingatia
 
Unatakiwa upake vitu vya oily skin......ukiongeza mafuta juu ya ngozi yenye mafuta inablock pores na ndio chunusi zinazidi......tafuta cleanser.....toner (kwa ajili ya kutight hizo pores zisiingize uchafu).....halafu cream ya oily skin.....usipake lotion au kunawia sabuni ya marashi usoni....osha uso kwa maji baridi au vuguvugu lakini sio Moto......usitumbue chunusi zinaacha mabaka......tumia extractor kuzitoa.......
Dr Preta extractors ndo zipi hizo
 
Nina miaka 30 sasa. Hili tatizo lilinipata nikiwa na miaka 27 hadi sasa
Kuna cleanser ya kusafishia ngozi ni nzuri sana yani sana nishawahi kuitumia ila nlikua naletewa from dubai sijui kama hapa ipo sijawahi kutafuta inaitwa "Brunoversaries" ya kusafishia tu na ngozi inakua nzuri kama unaweza ipata bila shaka itakusaidia
Kamuone Dr wa ngozi afu usiwe unapaka mchanganyiko wa vitu vitu usoni pole
 
Kweli eeeh!! Kwa hiyo nilitakiwa nipake vya dry skin? Au combination ya oily na dry!!!?

KAUMZA dear kamuone dokta, kuna daktari mmoja yuko Aga khan anaitwa Prof Mng'onda.. he is the best....

Yaani mimi nimewahi kuwa na chunusi, hapa ninapoongea imebaki historia, inabidi uwe mvumilivu matokeo utayaona mie ilinichukua 8weeks..na wakati niko pale nilianza matibabu na dada mmoja hali kama yako... nilipokuja kukutana nae tena sikuamini changes zake.

Huwa anakua Regency na Aga Khan, mie naongelea kutokana na uzoefu, ningekutajia dawa lakini inawezekana chanzo cha tatizo kwangu ni tofauti na kwako. Ila mtafute.. wish u all the best
 
Pole dada zingatia ushauri/maelekezo ya specialist wa ngozi ukipewa dawa ukatumia alafu haijakusaidia unaridi kwa aliekupa hizo. Too much trials is not healthy

Very true.. unashauriwa paka hiki mara paka kile.... u try a lot of things...

Mie yule daktari alinambia tatizo sometimes linakua ndani.. so inabidi ku start to cure from inside.. unaweza kua unapaka cream, sijui vidude gani kutibu nje kumbe shida iko ndani.
 
Kuna cleanser ya kusafishia ngozi ni nzuri sana yani sana nishawahi kuitumia ila nlikua naletewa from dubai sijui kama hapa ipo sijawahi kutafuta inaitwa "Brunoversaries" ya kusafishia tu na ngozi inakua nzuri kama unaweza ipata bila shaka itakusaidia
Kamuone Dr wa ngozi afu usiwe unapaka mchanganyiko wa vitu vitu usoni pole
Kama madukani kwetu hakuna, ninaweza kununua hata online
 
Sawa. Asante sana.
unnamed.png

Hii hapa, ukiipata hapa kwetu naomba unijulishe pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom