Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,745
- 2,338
Kwa anayejua njia ya kuondoa makovu eitha kwa njia ya asili au kwa kutumia dawa au mafuta/lotion atupie hapa makovu ya chunusi pamoja na vipele!
Alright! Nunua dawa iitwayo " No Scar" ni cream, Reduces & Removes Scar, Post Pimples scars, Stretch Scars, Burn Scars, Dark Circles under the eyes.
Apply on the affected area 2-3 times a day and massage gently till the cream is fully absorbed. Do it especially at bed time. Bei yake ni 5000/=
Dawa ni matunda na kunywa maji mengi, kumbuka kazi ya maji pia huifanya ngozi kuwa nyororo, vile vile local scrubs inasaidia
swala la maji me najitahdi sana zaidi ya 2.5 lter per day nakunywa.
binadamu anashauriwa kunywa lita 5 kwa siku. Ongeza maji
binadamu anashauriwa kunywa lita 5 kwa siku. Ongeza maji
Dawa ni matunda na kunywa maji mengi, kumbuka kazi ya maji pia huifanya ngozi kuwa nyororo, vile vile local scrubs inasaidia
Try kutumia unga wa dengu.unamix unga wa dengu na maji unakuwa si mwepesi sana wala mzito sana unapaka unaacha unakaukia,huwa inavuta sana ngozi,then unaosha.
Pia unaweza kuscrub uso kwa tumia sukari unamix na asali na olive oil hii pia inasaidia kumoisturize ngozi.
Umemaliza. Kazi kwake.Angalia hayo ma-cream unayoambiwa upake. Hakikisha unasoma kikaratasi cha maelezo na kuelewa terminologies zilizopo, zingine ni sumu kabisa na mtengenezaji anajieleza wazi wazi.