KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Sikwamba vipodozi ndivyo vinaletelezea hizo madude..! Mtu mweupe sasa hizo vipodozi za nini?
Nashukuru sana. Nikiipata nitakujulishaView attachment 316325
Hii hapa, ukiipata hapa kwetu naomba unijulishe pia
Pole sana dada yangu hebu njoo pm Nione nakusaidiaje.
Aisee ntashukuru sana uniletee na Bata nasikia Bata wa dubai ni watamuNaenda Cape Town nikipitia Dubai.......nikuletee.....?....
Cc Mshana Jr....
Ohooo mashikoro mageni ndo kwanza nakaona hapa, ukiniachia hako utakuta nimekaweka mdomoni kama toothpick make sijui kazi yake #ndiowasukumatulivyoOhooo......ndio hizi hapa......
Aisee ntashukuru sana uniletee na Bata nasikia Bata wa dubai ni watamu
Ohooo mashikoro mageni ndo kwanza nakaona hapa, ukiniachia hako utakuta nimekaweka mdomoni kama toothpick make sijui kazi yake #ndiowasukumatulivyo
Koroshea naijua, so kanakamua chunusi kama praizi eeehHa ha.......kakubwa hako......kapo kama koroshea no 6.....(kama unajua koroshea lakini)........
Ila hospitali hakunaga dawa ya chunusi ni ushauri tu namna ya kukeep ngozi vizuri labda matatizo mengine ya ngozi ndio dawa zipoPole sana Mumy nenda tu hospital upate tiba
Koroshea naijua, so kanakamua chunusi kama praizi eeeh
acha kula kiepe na vyakula vya mafuta wakati wa kulala osha uso kwa maji ya vuguvugu usipake make up maana wadada wa kibongo wanalala wakiwa na make up....acha kutumia vipodozi.
NB: UWE UNAKUNYWA MAJI MENGI SANA
Nimeshuhudia wadada wengi sana wanalala na make up kisha asubuhi anajiosha na kujipaka tena...nilishangaaa sana nilijaribu kuhoji wanasema wanapaka ili asubuhi aamke uso usiwe kama bondiaUnataka kusema tunalala na make up ili asubuhi tuamke poa au........? ......unajua huo ni uchokozi........
Yes ni kweli hakuna,ila ni vizuri kwenda kwanza kujua tatizo lake linasababishwa na nini,maana pengine ni la ndani kwahiyo hata atumie vipodozi na dawa gani litabaki vile vile,mfano mimi huwa nasumbuliwa na chunusi nyakati fulani sababu ya hormonal imbalance yaani hata nitumie nini huwa haviishi,so kikubwa ni kujua tatizo na namna gani ya kukabiliana nayo.Ila hospitali hakunaga dawa ya chunusi ni ushauri tu namna ya kukeep ngozi vizuri labda matatizo mengine ya ngozi ndio dawa zipo
Nimeshuhudia wadada wengi sana wanalala na make up kisha asubuhi anajiosha na kujipaka tena...nilishangaaa sana nilijaribu kuhoji wanasema wanapaka ili asubuhi aamke uso usiwe kama bondia
Hizi make up wadada muwe mnapeana elimu basi jinsi na muda wa kuapplyHa ha......hakuna lolote.......kutokujiamini tu.......Sasa mtu wa hivyo ukimkuta hajapaka make up unaweza kimbia.........