Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Nenda sauna utoe sumu mwilini na fanya mazoezi kwa wingi utoe jashoo lingiii kuruhusu mwili kupumua na maji mengiiii kwa muda flani alafu ndo umconsult skin specialist
 
b
Nenda sauna utoe sumu mwilini na fanya mazoezi kwa wingi utoe jashoo lingiii kuruhusu mwili kupumua na maji mengiiii kwa muda flani alafu ndo umconsult skin specialist
pia kwa sasa avoid kujipaka makeup na cream, ogea sabuni ya mbuni + kula maparachichi mengi na matango
 
img_20160111_223923-jpg.316271
 
KAUMZA,
Pole sana! Umetoa maelezo yako kuhusu ngozi yako bila sijaona ukisema kuwa ushawahi kwenda kwa wataalam wa ngozi hospital. Ombi langu kwako na kwa wengine tusitumie dawa kabla ya kuwaona ma-specialist. Nenda hospital utapata matibabu na ngozi yako utaipenda.
 
Magonjwa ya ngozi yanasababishwa na vitu vingi sana na matibabu yake uwa ni trial and error, ila pia wasichana wa umri mdogo wanakuwaga na matatizo ya ngozi na hii inapona kadri umri unavyoenda.
Kingine ni mafuta ya kupikia, hilo wengi uwa hawasemi lkn ni chanzo cha ugonjwa wa ngozi, jaribu kuangalia vyakula unavyokula haswa mafuta yanatomika kukaanga vitu, chips mandazi nk nk.
 
KAUMZA,

kutoa Madoadoa yaliyosababaishwa na Chunusi

Mahitaji
Unga wa Riwa
Maji ya Rose (Rose water)
Maji safi ya kawaida
Limao
Mafuta ya Zaituni (Olive oil)

Hatua ya Kwanza
Chukua unga wa Riwa na Maji Rose uyachanganye pamoja na ukoroge hadi mchanganyiko wako uwe mzito.

Hatua ya Pili
Upake mchanganyiko wako katika sehemu yenye makovu na uache hadi ukauke. Unaweza kukaa na huu mchanganyiko huu kwa muda mrefu ila inategemea na nafasi yako pia, mchanganyiko huu unasaidia kunyonya mafuta na kuacha ngozi kavu.

Hatua ya Tatu
Nawa vizuri na maji ya uvuguvugu.

Hatua ya Nne
Paka Juice ya Limao kwenye sehemu yenye makovu. Juisi ya limao inatumika kama brichi ya asili ambayo husaidia kufifisha madoadoa na kuondoa makovu kwenye ngozi .

Hatua ya Tano
Paka mafuta ya Olive kwenye makovu, hii husaidia kulainisha ngozi na kufanya makovu yasionekane kirahisi.

Mambo ya kuzingatia
Wakati unaanza kufanya tiba hii jaribu kuacha kutumia aina ya vipodozi vya kemikali ulivyokuwa unatumia na utumiea hii tiba ya asili isiyo na madhara. Jaribu kufanya zoezi hili walau mara mbili kwa wiki ndani ya mwezi mmoja utaona matunda yake.
 
Pole sana. Nenda hospitali shemeji. Lakini mpia mtambue kuwa vipodozi ni dawa na dawa zote ( ukiondoa za kienyeji ) ni sumu.

Lakini wanawake wengi akiwemo mama watoto mmekuwa na tabia ya kubadili-badili vipodozi na hii ina madhara makubwa kiafya
 
KAUMZA nadhani shida yako inatokana na kupigwa na jua kwa muda mrefu. Chunusi hazibadilishi rangi ya ngozi kwa kiasi kikubwa hivyo. Wengine wetu chunusi zinachachamaa uso unakuwa kama gamba la mringaringa na zikiisha ngozi inarudi rangi yake.

Jitahidi usikae juani ukishindwa paka sunscreen ukiwa unaenda kwenye jua kali.
 
kutoa Madoadoa yaliyosababaishwa na Chunusi

fotolia_2616578_XS.jpg

Mahitaji
Unga wa Riwa
Maji ya Rose (Rose water)
Maji safi ya kawaida
Limao
Mafuta ya Zaituni (Olive oil)

Hatua ya Kwanza

Chukua unga wa Riwa na Maji Rose uyachanganye pamoja na ukoroge hadi mchanganyiko wako uwe mzito.

Hatua ya Pili

Upake mchanganyiko wako katika sehemu yenye makovu na uache hadi ukauke. Unaweza kukaa na huu mchanganyiko huu kwa muda mrefu ila inategemea na nafasi yako pia, mchanganyiko huu unasaidia kunyonya mafuta na kuacha ngozi kavu.

Hatua ya Tatu

Nawa vizuri na maji ya uvuguvugu.

Hatua ya Nne

Paka Juice ya Limao kwenye sehemu yenye makovu. Juisi ya limao inatumika kama brichi ya asili ambayo husaidia kufifisha madoadoa na kuondoa makovu kwenye ngozi .

Hatua ya Tano

Paka mafuta ya Olive kwenye makovu, hii husaidia kulainisha ngozi na kufanya makovu yasionekane kirahisi.

Mambo ya kuzingatia

Wakati unaanza kufanya tiba hii jaribu kuacha kutumia aina ya vipodozi vya kemikali ulivyokuwa unatumia na utumiea hii tiba ya asili isiyo na madhara. Jaribu kufanya zoezi hili walau mara mbili kwa wiki ndani ya mwezi mmoja utaona matunda yake.
Hapo kwenye juice ya Limao ukishapaka unaiacha au unainawa baada ya muda?
 
Pole sana. Usikate tamaa ila usitumie product yoyote kwa sasa ambayo ina Hydroquine hata kama niyakutibu. Kadri unavyobadirisha tiba ngozi inazidi kuwa laini. NB: simaanishi unatumia vipodozi vyenye chemical isipokuwa wakati wa tiba unaweza kuwa unachanganya kila unaloambiwa.
 
Hizo nahisi ni makeup na mavipodozi mengine ndo yamekufanya ivo, mdada mweupe ma makeup ya nn tena.Anyway fata ushauri wa wadau juu hapo
 
acha kula vyakula vya mafuta kabisa kwa wiki kma tatu kwanza kunywa maji kabla ya msosi wako wowote na asubuh unywe maji glass moja tu

navyoomaanisha uache kula vyakul vya mafuta acha kabis we kula vitu vya chemsho hata wali ukipiki basi vikombe viwil kijik kimoj am serious achan na vyakula vya mafuta

Yu

Yummie, Asante sana. Ni kweli, sijaupumzisha uso huu
Pole sana. Endelea usikate tamaa. kama utakwenda hospital ukimwona specialist wa ngozi na dawa hazitakusaidi nitafute nikupe ushauri mwingine ujaribu njia nyingine. Lakini kwa sasa nashauri usitumie tena hizo chemicals kwa pengine hazikupendi.

Pole sana. endelea kujalibu bidhaa zingine pia mwone specialist mwingine wa ngozi. kama huko utashindwa tuwasiliane ili tushauriane ili ujaribu mbinu zingine. 0689417472
 
Kaumza unafanana na dada flani anaitwa liberate mburundi wa Dar
 
tumia sabuni za kawaida zisizo na marashii zile ya kuwaogeshea watoto wachanga mfano mbuni..kanga,.. jamaa nk...
tumia maji ya uvuguvugu wakati wa kuosha uso...tumia cloves maalum siyo pichu...kuepuka bacteria
usije vyakula vya mafuta yaan kuanzia blue band..peanut butter..chips nk
kula matunda na maji kwa wingi
epuka kushika shika uso..yaan kubinya machunusi..pole saaana
 
Habari za asubuhi,kwa wateja wangu waliokua wakiihitaji hii dawa nimeshapokea mzigo mnaweza kunitafuta, mbali na hapo na ile dawa sugu ya kuondoa michirizi iliyoshindikana pia ninayo mikononi..niwatakie siku njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom