Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Toa maelezo kwa usahihi na kama ni wewe unasumbuliwa kuwa mkweli na kama ni mwanao tupe details zake muhimu
Umri wake
Tatizo limeanza lini
Juhudi ambazo umeshachukua mpaka sasa kwa kwenda hospitali
Ukiweza hapo na uhakika utapata ushaur mzuri humu wapo wataalam wa mambo mbalimbali
 
Mwambie huyo mficha ukweli dawa hatopata na madoa yatazaliana!
 
Mwambie huyo mficha ukweli dawa hatopata na madoa yatazaliana!
Kuna makosa kwenye post yake maana hata ukubwa wa tatizo hajaelezea . inawezekana ni madoa kidogo usoni sasa yanamnyima raha mwanae/yeye.... Asikose amani atapata tiba tu
 
Mwambie huyo mficha ukweli dawa hatopata na madoa yatazaliana!
Kweli atapata tiba; sina mashaka!!; afafanue apate msaada watu humu wapo wenye uzoefu tofauti!
Kuna makosa kwenye post yake maana hata ukubwa wa tatizo hajaelezea . inawezekana ni madoa kidogo usoni sasa yanamnyima raha mwanae/yeye.... Asikose amani atapata tiba tu
 
Wapendwa wana Jf,

Habari zenu ndugu zangu, na marafiki zangu wote humu ndani!

Wapendwa ma-dokta na wataalamu, na hata wazoefu......Naomba mnisaidie katika hili, Hivi kuna dawa ya kuondoa kovu mwilini?

Mfano labda ulifanyiwa upasuaji katika mguu au mkono au ulipata ajali na ikalazimika kushonwa nyuzi kadhaa ; LAKINI lile kovu bado lipo japokuwa kidonda kimepona. Je kuna dawa yeyote unayoifahamu ambayo inaweza kusaidia kufuta hilo kovu mwilini au hata kulififishaa kabisa lisionekane?

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu ndugu zangu wote humu JF!

ASANTE.
 
Makovu ni alama ambayo hata mkeo anaifahamu.

Na kila mtu ana kovu labda tu awe na govi/mkono sweta ambalo hakijakatwa,ila likikatwa lazma kovu libaki pale kichwani!
 
Wadau naomba kuelekezwa lotion au cream yoyote nzuri ya kuondoa madoa na makovu mwilini hususani maeneo ya miguuni, magotini na mapajani.
Nawasilisha naomba kuelekezwa, ukiweka na bei sio vibaya
 
Mamy, hayo makovu yako alianza baada ya kupaka kitu au yalikuja yenyewe?

Sio kila Tiba lazma iwe cream
 
Tumia white express lotion inauzwa tsh 25000 inapatikana kwenye maduka makubwa ya vipodozi pia ukipata na sabuni yake itakua gud zaid but sabun mesahau beiiii
 
Mamy, hayo makovu yako alianza baada ya kupaka kitu au yalikuja yenyewe?

Sio kila Tiba lazma iwe cream
no! si mimi kuna mtu anatafuta tiba. yeye alikuwa nayo toka alipokuwa mdogo, utundu wa utotoni kupanda miti na michezo mingine hatarishi ndo iliyompelekea makovu na alama
 
Back
Top Bottom