Hatakiwi kuacha kula. inaonekana anakula sana kuliko kiasi cha kawaida pia anapenda mapochopocho. Mimi pia nina tatizo hilo lakini nikila ipasavyo kwa wiki tu tumbo linapungua tena bila mazoezi. Ulaji mbovu unachangia sana kwenye hivi vitambi vya siku hiziFANYA MAZOEZI,
USIPENDE SHORTCUT...
unawezaje kupunguza JITUMBO Kwa kupungiza kula?
huko ni kuudhoofisha mwili mzima..
AM DONE.