Jinsi ya kuokoa simu iliyoingia maji

Jinsi ya kuokoa simu iliyoingia maji

kwann nifany kaz ya kuikausha kwanz kwa nje,,,kwani mchel hauwez kufany kaz hiyo??

Kwa nini wasiweke juani tu na itakauka?
mchele asilani hauwezi kuvuta au kuabsorb moinsture ni kitu kisichowezekana kukausha unyevunyevu,
(mfano rahisi ni kwa kinamama wapikapo shakula wakiuloweka ndio kabisa unavimba na wakiuacha unavunda wanaita Vitumbua)
Ngoja tueleweshane kwa usahihi, nikweli kwenye vile vi-packet hawaweki mchele, zinazowekwa ni desiccant mara nyingi wanatumia silica zinafanya absorption kama mchele tu, na pili dhumuni kubwa ni kuzuia unyevunyevu kwenye vitu husika bags, shoes, electronics appliance n etc, na si kufukuza wadudu kama ulivyosema.
Hongera lkn izi habari za kuwaiga wazungu zitatupoteza kwani wanataka simu yako ikae masaa 48 kwani kwao jua hakuna
  • tumia jua
  • tumia mwanga mkali wa bulb ya watts 100
  • tumia blower la kukausha nywele nata la kuondoa vumbi
ni dk 30 tu unaunganisha na kurudia mawasilano yako
[h=4]Step 3[/h] Blow compressed air on the device to remove as much water as possible. If you didn't disassemble your device, blow the air into a port or earpiece opening to try and force water out of another hole. Continue until no more water comes out of the device.


[h=4]Step 4
[/h] Fill a container three-quarters full with dry, uncooked rice. Submerge your phone, or all the pieces of it, into the rice. Seal the container.

[h=4]Step 5[/h] Wait 48 hours for the rice to do its job, then open the container, reassemble the device and turn it on.

How to Save a Wet Cell Phone: 15 Steps (with Pictures) - wikiHow
How to Dry a Cell Phone Out With Rice | Tech Channel - RadioShack
 
Thanks. .nimejua nilikuwa sijui..afadhari kukubali kuwa ulikuwa hujui na ukajua..kuliko kung'ang'ania kuwa ule ni mchele..ndo mana nikamwambia autafune basi tujue moja...lol
Hahahaaah,,Hapo kweny red umeua mkuu.
 
Nami nilishaisikia hivyo sema sijakutana na janga.la simu kutumbukia kwenye maji.
 
Si kweli unachosema..hawaweki mchele kwenye box la vitu vipya..wanawake dawa zinazofukuza wadudu kusogelea kile kitu..hawawezi kuweka mchele..utaleta wadudu..ushahidi picha hii naiattach
Wewe!ubishi ni jina la kati la ukoo wenu ?kipi hapo si kweli na kwa ufahamu wako dawa ni nini?mchele hauwezi kuwa dawa?nini maana ya neno "dessicant "kwenye hiyo picha ya pakiti uliyotupia? au kwa sababu imeandikwa silica gel we ndio umeona dawa tu na dawa unafikiri kazi yake ni kuzuia wadudud tu?nikikwabia hiyo"silica gel "pia inatumika kama sealant kwa vitu mbalimbali pia utasema si kweli we cha ubishi?
 
Poa ..next time ukinunua viatu..tafuna na mchele wako unaopata ndani..then ndo utajua mdudu anafata nini kwenye viatu vipya...

Kuwa teyari kuelimika..elimu haina mwisho 😕
Yaani kubisha usivyovijua ndio kuelimika?niacheni niendelee na ujinga wangu!mchele unanyonya unyevu kama vile unavyoona matumizi ya mkaa kunyonya gesi!
 
Thanks. .nimejua nilikuwa sijui..afadhari kukubali kuwa ulikuwa hujui na ukajua..kuliko kung'ang'ania kuwa ule ni mchele..ndo mana nikamwambia autafune basi tujue moja...lol
Unaweza kutumia mchele pia kwa same effect kama simu imeingia maji!!
 
Hapa ni baada ya kuwa mbali na fundi/ vifaa au Mwanga wa jua ndio naweza kushawishika na mbinu hii, tena Mimi nitaacha wiki nzima.
 
Si kweli unachosema..hawaweki mchele kwenye box la vitu vipya..wanawake dawa zinazofukuza wadudu kusogelea kile kitu..hawawezi kuweka mchele..utaleta wadudu..ushahidi picha hii naiattach

Sio wadudu, ni unyevunyevu.
 
Back
Top Bottom