h120
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,545
- 3,370
Habarini wana tech,
Fahamu njia rahisi ya kuokoa simu iliyoingia maji,
Vitu unavyohitaji: Mchele, towel, chombo chenye mfuniko (i.e container)
Punde simu yako inapoingia kwenye maji, au kutumbukia kwenye maji, itoe haraka, kama bado inawaka zima na utoe battery, (usijaribu kuiwasha pindi ina maji utaunguza vifaa vya kwenye simu na itakufa mara moja) baada ya kuzima na kutoa battery, chukua taulo au kitambaa na ukaushe maji yaliyopo nje mpaka yaishe, baada ya kuhakiki maeneo ya nje yote hamna maji tafuta chombo chenye mfuniko hakikisha hakipitishi hewa pindi umefunga, weka mchele wa kutosha na hiyo simu yako izamishe katikati kwenye mchele na battery pia unaweza iweka kama imedhurika na maji, baada ya hapo funika vizuri na mfuniko, na usubirie muda mzuri ni masaa 24, (mchele utafanya kazi ya ukaushaji maji yaliyopo ndani).
Zaidi ya simu tatu zimepona kwa njia hii (nimejaribu).