@wa hapa hapaHii umekosea mkuu, jaribu tena tuprove kama kweli umeweza
NAKWEDEAndika @ hii halafu andika jina la huyo member bila kuacha nafasi.
Shombe la Kisomali
Mshana JrWadau, me shida yangu ni ndogo tu.. Naomba mnielekeze jinsi gani naweza kumtag mtu/member mwenAngu humu JF.
Nawasilisha
NAKWEDEAbeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee