Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

Wanajamii kuna tatizo LA kuwai kufika kilele kwa baadhi ya watu, na najua watu wengi wamewai kusikia.

Inawezekana ikawa ni ugonjwa au matatizo ya kisaikolojia.

Kuna njia ya kuwasaidia watu hao awe me au ke njia inawasaidia wote bila athari yoyote.

Njia hiyo ni kumtanua makalio pindi unapoisi anakaribia kufika kileleni.
Yaani kama mume ndio yuko juu pitisha mikoni mgongoni kwakwe kisha shika makalio yke mpenyue ili katikati ya mfereji WA Suez iingie hewa ya kutosha.Na kwa mke njia ni hiyohiyo.

Inapoingia hewa katikati ya makalio itampunguzia uwekano WA kufika kileleni na kuchukua adi dakika 20 kuanza upya hali ya kufika kileleni, unaweza kurudia rudia ukiitaji.

Njia hii ni sahihi na haina madhara yoyote ni technic tu wakati kufanya mwenza wako asijue kama umempenyua makusudi.

NB.
Usitumie nguvu nyingi kupenyua ayo makalio asije kukunyea mpenzi wako ni taratibu kimahaba.

nilikuwa naupita huu uzi kumbe una shudu za kutosha, nimecheka sana, asante kwa elimu, its a joke with a meaning.
 
yaani mm siku hiyo hiyo huo upepo ukiingia na mm ndio mwisho wa relation
 
Nitajaribu, huwa nafika kileleni haraka sana, sasa sijui huu utafiti ni scientific au? nisije nikampanua au nikapanuliwa yakatokea mengine!

Duuuuh
 
Wanajamii kuna tatizo LA kuwai kufika kilele kwa baadhi ya watu, na najua watu wengi wamewai kusikia.

Inawezekana ikawa ni ugonjwa au matatizo ya kisaikolojia.

Kuna njia ya kuwasaidia watu hao awe me au ke njia inawasaidia wote bila athari yoyote.

Njia hiyo ni kumtanua makalio pindi unapoisi anakaribia kufika kileleni.
Yaani kama mume ndio yuko juu pitisha mikoni mgongoni kwakwe kisha shika makalio yke mpenyue ili katikati ya mfereji WA Suez iingie hewa ya kutosha.Na kwa mke njia ni hiyohiyo.

Inapoingia hewa katikati ya makalio itampunguzia uwekano WA kufika kileleni na kuchukua adi dakika 20 kuanza upya hali ya kufika kileleni, unaweza kurudia rudia ukiitaji.

Njia hii ni sahihi na haina madhara yoyote ni technic tu wakati kufanya mwenza wako asijue kama umempenyua makusudi.

NB.
Usitumie nguvu nyingi kupenyua ayo makalio asije kukunyea mpenzi wako ni taratibu kimahaba.

Haitakuwa ajabu sana mwanga wa milele ukimuangazia
 
Nimekuelewa mtani...unajua kuna baadhi ya wanaume wenzetu injini zao hazipigi starter mpaka wasukumwe...ndio inawakia kwenye gia...labda ndio anaowazungumzia mtoa mada...

Ha ha ha gia namba ngapi? Ha ha ha najua kuna gia namba moja ikifika namba tatu jua kitu ni bwabwa
 
Nilikuwa najiuliza inawezekanaje mtu anapigwa shoka la kichwa na mwenza...kama ndio kupekenyuliwa kabisa..aaah shoka lazima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom