kama nilivyokutongoza wewe nilivyokua mpoleanatongoza
aondoke bana kwani nini?
Matege mkatae mwanume mwenyewe anachekacheka tukama nilivyokutongoza wewe nilivyokua mpole
aiseee unanipenda mpaka unanichukia
Sijui kwanini kam cc Matege! Chunguza utajua mengi
bora ingekua mwanaume pasingetosha
halafu Matege huyu anakuonea wivu tu
mjini kuna watu wana roho mbaya
Sishindi yako kama mkaanga sumu
Qui qui quiiiii mkaanga sumu mtaani kwetu legend