Jinsi ya kumlinda mumeo

..sio hisani Ya upendo,its responsibility no wonder mme anaacha mke anafata HouseGirl,wives wa cku hizi longolongo nyingi they are meant to dwindle chini kabisa kwenye Chain,they should deal with It [emoji23] [emoji23]
No wonder!! Sasa kwanini hamuwaoi hao house girls in the first place????
 
No wonder!! Sasa kwanini hamuwaoi hao house girls in the first place????
Mmmh siku hizi umezidi kuthink critically khaaaa. Kweli waoage tu housegirls watulie na ndoa zao. No need of kuzunguka mbuyu, Waachane na wanawake wengine coz hata wakiwaoa watarudi tu kwa housegirls
 
Mmmh siku hizi umezidi kuthink critically khaaaa. Kweli waoage tu housegirls watulie na ndoa zao. No need of kuzunguka mbuyu, Waachane na wanawake wengine coz hata wakiwaoa watarudi tu kwa housegirls
Simple and clear warahisishe kazi tu ili washinde bar vizuri, wala hawatopata taabu ya kuchungulia nani atafua boksa zake.
 
No wonder!! Sasa kwanini hamuwaoi hao house girls in the first place????
..It because we forget to sharpen our senses,movie nyingi mpka inafika Point unaamin kuna Lady in a modest woman
 
hapo sasa mwanaume mwingine ukimkalia kimya anasema ni kiburi... anaenda kwa muongeaji kuchepuka. UOTE="The Boss, post: 17781669, member: 18247"]Umesahau 'kukaa kimya'

wakati mwingine mwanamke anatakiwa tu anyamaze kiimya
ili mtu kichwa kitafakari ya maana

sio kuta tu kuongea ongea[/QUOTE]
ha
 
nafanya ninachokiweza, kilicho nje ya uwezo wangu kamwe sijilazimishi,
tunatumia muda mwingi kumwabudu Mwanaume mwenye fikra binafsi na matamanio kama binadamu wengine.
tunasahau kumwabudu Mungu,
siku akishindikana kutwa kumlilia Mungu.
Binadamu haridhishwi, ila huridhika.
 
..,wives wa cku hizi longolongo nyingi they are meant to dwindle chini kabisa kwenye Chain,they should deal with It [emoji23] [emoji23]
huyo atakayekuwa na wewe ndo yuko chini kwenye chain, mmebanana hapo chini wewe na yeye
 
huyo atakayekuwa na wewe ndo yuko chini kwenye chain, mmebanana hapo chini wewe na yeye
..Tatizo naona hapa ni Equality mnatafuta kumbe something that can never be fathomed,itabaki kuwa ndoto [emoji12] [emoji12]
 
Wanaume tunahitaji kusikilizwa. Sio mwanamke kujifanya much know, kila anachoambiwa haambiliki.
 
ha[/QUOTE]
Hahaaaa!! Hawana jema.
 
[emoji109]
 

Wisely said.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…