Jinsi ya kumfanya mpenz wako afurahi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kumfanya mpenz wako afurahi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Viol, Jun 11, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Habari za sahizi wapendwa,poleni na shughuli za kutafuta mkate wa kila siku na ninawatakia weekend Njema.
  Huu hapa ni mtazamo wangu tu kuhusu baadhi ya mambo na jinsi ya kumfanya mpenzi wako afurahi na kukupenda zaidi.

  1.Kuwa wazi na mkweli:bila kuwa wazi kwenye mapenzi ujue unaharibu uhusiano,wengi wetu tunapenda kusema kweli pale tu makosa yetu yanapobainika,mwambie mpenzi wako kila kitu unachofanya,pia usisahau kumwambia kuhusu mambo ya dharura hata kama ni madogo ili kumjengea uaminifu,unapokuwa wazi naye pia hataweza kukuficha chochote.Ukiona kuna kitu unahisi kinaenda vibaya usisite mwulize kwa upole na jaribu kuzuia hasira na kuongea kejeli,usipende kukaa kimya na matatizo bila uhakika kutoka kwa mpenz wako.
  2.Sema samahani:kila unapokosea jaribu kusema samahani,mfano ulishindwa to call him/her back,kama umechelewa mda wa kukutana naye usisahau pia kusema samahani,mwambie samahani siku ingine sintarudia nitajitahidi.
  3.Wasiliana naye:uwe unawasiliana naye,usipende wewe ndo uwe wakupigiwa simu kila siku,usisahau kumtumia sms ,ukimwambia utampigia basi timiza ahadi na umpigie kweli,wengi tunapiga simu pale tu unapokuwa na shida au dukuduku la kumwuliza,unatakiwa kumwuliza hata umekula nini,unafanya nini,hii itaonyesha kuwa unamjali.
  4.Tafuta mda wa kukaa naye:Jaribu kwenda naye out,kama mna mda mnaweza hata kwenda museums,zoo parks.sio lazima uende out zitakazokugharimu sana,angalia na uwezo wako.
  5.Jali maamuzi yake;jaribu kumsikiliza,usiwe mwamuzi wa kila kitu,ana haki ya kusikilizwa na pia usipuuzie maamuzi yake na kuyadharau.
  6.Usisite mbele za watu:usiwe unapuuzia hisia zake mbele za watu,akikuhug nawe onyesha unamjali,akikushika mkono usipuuzie,juu unapopuuzia vitu kama hivo mbele za watu atajijengea hisia kwamba kuna mtu unamwogopa.
  7.Msifie:usisite kumsifia unapomwona amependeza au alivyovaa.
  8.Fanya kama wewe:usiige style za watu,na mwenendo wao wa kimaisha,uwe mbinifu we binafsi.
  9.surprise:mfanyie surprise,sio lazima vitu vya gharama,angalia uwezo wako,unaweza pia ukiwa naye ukaweka notes za love *kwenye mfuko wake wa koti,trouser bila yeye kujua ili baadaye akiona afurahi.
  10.Zijali interests zake:Unapokuwa naye usimlazimishe aache interests zake,kama anacheza game basi mpe kampani ucheze naye,utaona siku ingine akitaka kucheza anakutafuta ili ushindane naye.
  11.Uwe mcheshi:hakuna anayefurahi kukaa na mtu ambaye si mcheshi,kwahiyo jaribu kuwa mcheshi ila acheke na kufurahi
   
 2. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo vema,ila some time hauwezi fanya vyote,kulingana na wakati na mood!any way good hints
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Tajy ni kweli but ukifikia hata nusu vya hivo nadhani bado mapenzi yatanoga tu
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Thanx Exellent i like that!Bi
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  thaaaaaaaaaaax...ngoja nimbipu apige...au mpk nipige ndo inanoga..!!!
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Eiyer thanx...tukiweza nadhani matatizo yatapungua kama sio kuisha
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ujumbe mzuri, nitaufanyia kazi.
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Rose mpigie tu yeye atacall back
   
 9. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  haya lazma nifanye hata mawili au matatu hat ya haya ulio sema
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  poa...
  ntamdip...
   
 11. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Thanks mpendwa, lkn wewe unafanya hivyo?
   
 12. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  wewe kwan lazma afanye hvyo bana kuwa mpole mm mjalibu shem alafu utaona
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Murefu ukifanya lazima atafurahi tu
   
 14. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Aisha najaribu hata zaidi ya hapo ila katika maisha kuna situation ambazo zinapotukabili tunakuwa na wakati mgumu
   
 15. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  yan akifurah nitaakikisha ataacha kuingia kwny JF mana ninaweza kuibiwa kwa namna hii dah!
   
 16. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Hayo ni maneno tu! hakuna mkweli katika mambo hayo. Ila tunachofanya ni kujitahidi kutoonekana. Ingetokea kila mtu akawa na ka-screen kumwangalia mwenzi wake anayofanya, hakika kusingekuwa na couple hata moja hapa duniani.
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Zingekuwepo sana!!
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  hahahaha ukifanya na mengine huwezi kuibiwa mana utamteka kihisia
   
 19. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Tutor kuna couple waliotulia na kuaminiana ila ni couple chache
   
 20. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mhhhhhhh!
  Sio lazima lkn linalowezakana fanya usije kuachika
   
Loading...