Jinsi ya kumfanya mpenz wako afurahi

Jinsi ya kumfanya mpenz wako afurahi

kweli namba 1 ni ngumu but inabidi kufanya hivo ingawa kuna vishawishi vinafanya watu wasiwe wakweli
Kama vishawishi gani? ukweli always unamweka mtu huru hata kama unaumiza kiasi gani, wapo wengine ambao uongo za tabia hayo, kusema ukweli kwao ni mwiko na huwa wanatoa sababu kibao za ku defend tabia zao
 
Thanx much,sikujua mwanzoni,nitakuwa nakutega we mwenyewe na hizo tricks,lol
 
Habari za sahizi wapendwa,poleni na shughuli za kutafuta mkate wa kila siku na ninawatakia weekend Njema.Huu hapa ni mtazamo wangu tu kuhusu baadhi ya mambo na jinsi ya kumfanya mpenzi wako afurahi na kukupenda zaidi.1.Kuwa wazi na mkweli:bila kuwa wazi kwenye mapenzi ujue unaharibu uhusiano,wengi wetu tunapenda kusema kweli pale tu makosa yetu yanapobainika,mwambie mpenzi wako kila kitu unachofanya,pia usisahau kumwambia kuhusu mambo ya dharura hata kama ni madogo ili kumjengea uaminifu,unapokuwa wazi naye pia hataweza kukuficha chochote.Ukiona kuna kitu unahisi kinaenda vibaya usisite mwulize kwa upole na jaribu kuzuia hasira na kuongea kejeli,usipende kukaa kimya na matatizo bila uhakika kutoka kwa mpenz wako.2.Sema samahani:kila unapokosea jaribu kusema samahani,mfano ulishindwa to call him/her back,kama umechelewa mda wa kukutana naye usisahau pia kusema samahani,mwambie samahani siku ingine sintarudia nitajitahidi.3.Wasiliana naye:uwe unawasiliana naye,usipende wewe ndo uwe wakupigiwa simu kila siku,usisahau kumtumia sms ,ukimwambia utampigia basi timiza ahadi na umpigie kweli,wengi tunapiga simu pale tu unapokuwa na shida au dukuduku la kumwuliza,unatakiwa kumwuliza hata umekula nini,unafanya nini,hii itaonyesha kuwa unamjali.4.Tafuta mda wa kukaa naye:Jaribu kwenda naye out,kama mna mda mnaweza hata kwenda museums,zoo parks.sio lazima uende out zitakazokugharimu sana,angalia na uwezo wako.5.Jali maamuzi yake;jaribu kumsikiliza,usiwe mwamuzi wa kila kitu,ana haki ya kusikilizwa na pia usipuuzie maamuzi yake na kuyadharau.6.Usisite mbele za watu:usiwe unapuuzia hisia zake mbele za watu,akikuhug nawe onyesha unamjali,akikushika mkono usipuuzie,juu unapopuuzia vitu kama hivo mbele za watu atajijengea hisia kwamba kuna mtu unamwogopa.7.Msifie:usisite kumsifia unapomwona amependeza au alivyovaa.8.Fanya kama wewe:usiige style za watu,na mwenendo wao wa kimaisha,uwe mbinifu we binafsi.9.surprise:mfanyie surprise,sio lazima vitu vya gharama,angalia uwezo wako,unaweza pia ukiwa naye ukaweka notes za love *kwenye mfuko wake wa koti,trouser bila yeye kujua ili baadaye akiona afurahi.10.Zijali interests zake:Unapokuwa naye usimlazimishe aache interests zake,kama anacheza game basi mpe kampani ucheze naye,utaona siku ingine akitaka kucheza anakutafuta ili ushindane naye.11.Uwe mcheshi:hakuna anayefurahi kukaa na mtu ambaye si mcheshi,kwahiyo jaribu kuwa mcheshi ila acheke na kufurahi
Mkuu nakubaliana na wewe kwa % kadhaa nisizoweza kuzitaja. But tambua waweza fanya vyote hivyo stil asifurahi, akaendelea kununa. SO FURAHA YA MPENZI WAKO INATEGEMEA NA TABIA ZAKE PIA, KM NI MTU WA KUNUNA UJUE SHUGHURI IPO, KM NI MCHESHI KIASILIA MAPENZI YATAKUA MATAMU...
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwa % kadhaa nisizoweza kuzitaja. But tambua waweza fanya vyote hivyo stil asifurahi, akaendelea kununa. SO FURAHA YA MPENZI WAKO INATEGEMEA NA TABIA ZAKE PIA, KM NI MTU WA KUNUNA UJUE SHUGHURI IPO, KM NI MCHESHI KIASILIA MAPENZI YATAKUA MATAMU...
Hapo ni kweli tabia *kwa kiasi kikubwa nayo inamata zaidi
 
Just for Argument Sake......... Different Strokes for Different Folks
Kuwa wazi na mkweli...... kama una too many bones in the closet, bora ukae kimya kuna watu waliofanya mambo wakikwambia utapata nightmares

Sema Samahani....... Nazo hizi zikizidi zinaloose their magic touch

Wasiliana nae........ Watu wengine wapo reserved na wanapenda privacy sometimes sio simu na sms kila wakati inakuwa monotonous

Uwe Mcheshi............ Usijaribu jambo ambalo sio nature yako, unaweza ukawa kituko badala ya kuwa mcheshi ukaonekana odd
 
Just for Argument Sake......... Different Strokes for Different Folks
Kuwa wazi na mkweli...... kama una too many bones in the closet, bora ukae kimya kuna watu waliofanya mambo wakikwambia utapata nightmares

Sema Samahani....... Nazo hizi zikizidi zinaloose their magic touch

Wasiliana nae........ Watu wengine wapo reserved na wanapenda privacy sometimes sio simu na sms kila wakati inakuwa monotonous

Uwe Mcheshi............ Usijaribu jambo ambalo sio nature yako, unaweza ukawa kituko badala ya kuwa mcheshi ukaonekana odd

mkuu thanx for useful post..
nilitaka ni post hivyo hivyo
but naona umeandika better ...
 
Habari za sahizi wapendwa,poleni na shughuli za kutafuta mkate wa kila siku na ninawatakia weekend Njema.
Huu hapa ni mtazamo wangu tu kuhusu baadhi ya mambo na jinsi ya kumfanya mpenzi wako afurahi na kukupenda zaidi.

1.Kuwa wazi na mkweli:bila kuwa wazi kwenye mapenzi ujue unaharibu uhusiano,wengi wetu tunapenda kusema kweli pale tu makosa yetu yanapobainika,mwambie mpenzi wako kila kitu unachofanya,pia usisahau kumwambia kuhusu mambo ya dharura hata kama ni madogo ili kumjengea uaminifu,unapokuwa wazi naye pia hataweza kukuficha chochote.Ukiona kuna kitu unahisi kinaenda vibaya usisite mwulize kwa upole na jaribu kuzuia hasira na kuongea kejeli,usipende kukaa kimya na matatizo bila uhakika kutoka kwa mpenz wako.
2.Sema samahani:kila unapokosea jaribu kusema samahani,mfano ulishindwa to call him/her back,kama umechelewa mda wa kukutana naye usisahau pia kusema samahani,mwambie samahani siku ingine sintarudia nitajitahidi.
3.Wasiliana naye:uwe unawasiliana naye,usipende wewe ndo uwe wakupigiwa simu kila siku,usisahau kumtumia sms ,ukimwambia utampigia basi timiza ahadi na umpigie kweli,wengi tunapiga simu pale tu unapokuwa na shida au dukuduku la kumwuliza,unatakiwa kumwuliza hata umekula nini,unafanya nini,hii itaonyesha kuwa unamjali.
4.Tafuta mda wa kukaa naye:Jaribu kwenda naye out,kama mna mda mnaweza hata kwenda museums,zoo parks.sio lazima uende out zitakazokugharimu sana,angalia na uwezo wako.
5.Jali maamuzi yake;jaribu kumsikiliza,usiwe mwamuzi wa kila kitu,ana haki ya kusikilizwa na pia usipuuzie maamuzi yake na kuyadharau.
6.Usisite mbele za watu:usiwe unapuuzia hisia zake mbele za watu,akikuhug nawe onyesha unamjali,akikushika mkono usipuuzie,juu unapopuuzia vitu kama hivo mbele za watu atajijengea hisia kwamba kuna mtu unamwogopa.
7.Msifie:usisite kumsifia unapomwona amependeza au alivyovaa.
8.Fanya kama wewe:usiige style za watu,na mwenendo wao wa kimaisha,uwe mbinifu we binafsi.
9.surprise:mfanyie surprise,sio lazima vitu vya gharama,angalia uwezo wako,unaweza pia ukiwa naye ukaweka notes za love *kwenye mfuko wake wa koti,trouser bila yeye kujua ili baadaye akiona afurahi.
10.Zijali interests zake:Unapokuwa naye usimlazimishe aache interests zake,kama anacheza game basi mpe kampani ucheze naye,utaona siku ingine akitaka kucheza anakutafuta ili ushindane naye.
11.Uwe mcheshi:hakuna anayefurahi kukaa na mtu ambaye si mcheshi,kwahiyo jaribu kuwa mcheshi ila acheke na kufurahi


Sawa sawa doctor love.
 
Back
Top Bottom