Jinsi ya kumfanya mpenz wako afurahi

Aisha najaribu hata zaidi ya hapo ila katika maisha kuna situation ambazo zinapotukabili tunakuwa na wakati mgumu

Hongera mpendwa kama unafanya hata zaid ya hapo,
Na hizo situation zinazowakabili na kuwa na wakati mgumu muombe mungu hakika zitaisha
 
Tutor kuna couple waliotulia na kuaminiana ila ni couple chache

Ukiangalia vizuri utakuta mmoja wao anacheat kupita kiasi ila anajitahidi kutanguliza heshima mbele. Mwenza wako akiwa hajatulia, ukajua na kutotumia busara kumrudisha kwenye mstari hiyo couple haitakuwepo.
Lakini ukitulia na kumkanya kwa njia ambazo hata jamii haitajua kilichoendelea ndo utakuta walio nje wanasema kuwa hiyo couple imetulia na haina mgogoro wa kifamilia. Jaribu kuchunguza utanambia. Mungu ni wa ajabu sana, ukiona we una katabia ka kutoka nje, ujue kabisa mwenzio hatoki na kama anatoka hamuwezi kuwa wote hata siku moja - moto utawaka mtatengana moja kwa moja kwa kuwa hakuna wa kumkanya mwenzake. HABARI NDO HIYO
 
Mapenzi yanaendana na hisia kali baina ya wapenda nao

Kwa nyongeza . . . mapenzi hayana formula tusidanganyane hapa. Tumewahi kupenda, kuacha na kuachwa pia, kurudiana na kuapa kutokupenda tena . . . bado tumependa na tuko kwenye game kama kawa. Makosa yalotendeka huko nyuma yakifanyiwa kazi ndo mambo yanakaa sawa.
Alowahi kutendwa akikutana na mwenzake ambaye naye pia aliwahi kutendwa wakiunganisha mawazo ndo wanaendana kwa taqhadhari ya hali ya juu.
 
Tutor unapotendwa ndo unajifunza kwamba una mapungufu gani
 
Tutor unapotendwa ndo unajifunza kwamba una mapungufu gani
Hakuna aliye mkamilifu ndugu yangu. Hapa nilipo kuna kisa cha kweli ambacho kimemtokea ndugu yangu ambaye ni innocent. Mfano mapungufu ya kimaumbile - labda mtu anaenda single round anakuwa hoi, mwenza wake ana uwezo wa kubadili madume hata watatu kwa siku - mapungufu hayo huwezi kuyakabili. Hata ufanyeje mwenzio utakuwa unamtesa, ndo mwanzo wa kukuletea mambo ya ajabu
 
Tutor upo right,kuna mengine yanavumilika lakini mengine huwezi kuvumilia
 
Back
Top Bottom