Duh! kwahiyo na kazi unaacha kabisa ili utunzwe!?Lazima tuwachune raha tuwape alafu waondoke burebure
wanaume kaptula mpo
Halafu wanamponda mzungu kusapport mashoga hawajui kuwa nawao wanajigeuza mashoga bila kujijua kisa kupenda kitongaWanaume Tanzania wanekuwa endangered species
Eti eee.Hizo ni Tam balaa