Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
don,nimeingia pale ebay nikaona desktop ya apple inauzwa dola mia 4 halafu kuna bid now lakini kuna sehemu wanaandika buy it now for 430 usd. Wanamaansha nn?
buy now ina maanisha hufanyi mnada unaichukua hapo hapo