Jinsi ya kukata kiuno..

Umesahau kutoa angalizo kwa wenye mishono haiwahusu...usije tuulia wake zetu....akakaza tumbo akiachia mshono fumuuu utumbo kuleee.... ebu waambie haraka sasa ivi.

Kweli !! Nimecheka sana mkuu!
 
mmh... bora uweke tangazo dogo kuwa siku hizi umeanza biashara hiyo!
 
Kwa practice zaidi check you tube Getrude Mungai mombasa raha positions
 

Umechanganya madesa smile huyo ni Kimbweta teh teh teh teh ....................!:rockon:
 
Umechanganya madesa smile huyo ni Kimbweta teh teh teh teh ....................!:rockon:
ahahaa nilidhani ni wewe ndugu yangu si unajua tena kwa mambo hayo huna mpinzani? huyu ndugu yako nini?
 
ahahaa nilidhani ni wewe ndugu yangu si unajua tena kwa mambo hayo huna mpinzani? huyu ndugu yako nini?

Hahahaaa mie huwa nafundisha kwa vitendo kabisa huyu kwa nadharia ..........!
 
Kama nilivyosema awali, simama wima najishike kiunoni(kuhu na huku) kishapeleka sehemu ya kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbeleuwezavyo(nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya hapopeleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto-kushoto, kisha peleka sehemu yako yambele nyuma hali itakayofanya ------ yako yabinuke/jitokeze kwanyuma.....nyoosha magoti kisha rudi kulia (ulipoanzia).


SASA UNAPORUDISHA KIUNO NYUMA INADIBI MR AWE NYUMA YAKO.

 
Asa mi mdada akianza kunikatikia ananiboaje? Ananikosesha taimingi bwanaaa!
 

kwani una kibamia mkuu maana ndivyo vinachomokaga
 
Wabongo bwana!
Wakati nyie mnaendelea kukata mauno, wenzenu wa nchi za Uganda, Rwanda na Kenya wanaungana kwa ajili ya maendeleo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…