Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
- Thread starter
- #21
Usijari bossya nazi, mkuu
Usijari bossya nazi, mkuu
Chungu sinaMkuu,
Kukaanga karanga tumia chungu ni bora zaidi kuliko sufuria,
Zinaiva vizuri,pia kuliosha hilo sufuria shughuli yake sio ya kitoto.
Yah mkuu, mwendo mpelampela!Ahahah duh ukienda kupiga show showa ina kuwa ya kibeba
Hapa ilifaa nireact na 😍Lengo la kukaanga karanga na mchanga,ni kuzuwia ili zisiungue,yani zisionyeshe ule weusi wakuungua,
Yani zinakua zinaiva kwa joto la mchanga na sio kwa kuungua kwa joto la sufuria.
Kuna karanga nasikia wanakaanga na mchanga, ni kweli au fix?
Hilo sifahamu ila ukichukua mchanga wa baharini ni bora zaidi,Hapa ilifaa nireact na 😍
Shukrani, nitajaribu siku..
Na je Mchanga wanausafisha kwanza au?
Bila kuchokaYah mkuu, mwendo mpelampela!
Unachanganya wakati wa kukaanga pale eheeNi kweli au mawe hasa changarawe unaziosha zinakuwa safii unachanganya na karanga kazi inaanza kurusha rusha mpaka zinaiva
Nitashukuru mno maana nazipenda mno na hizi za kununua huwa sizielewi sana. Nikijua kuzipika basi nimewin 😀😀😀😀Nikipata nazi wikii nitafanya
Nimeelewa kwa uzuri mkuu, barikiwa.. nitajipikilisha siku 😍Hilo sifahamu ila ukichukua mchanga wa baharini ni bora zaidi,
Mchanga si unaacha uwe wa moto kwanza kabla ya kuweka karanga,hapo inakua hakuna shida,ni sawa na wale wanaochemsha maji ya kunywa ili kuua vimelea.
Unachanganya wakati wa kukaanga pale ehee
Ahahah usijar nitakutag kabisaNitashukuru mno maana nazipenda mno na hizi za kununua huwa sizielewi sana. Nikijua kuzipika basi nimewin 😀😀😀😀
Sina oveniKaranga nzuri ni za kukaanga kwa mchanga au kwa oven. Haziachi alama ya kuungua na zinaiva vizuri sana.
Njaaa ime kuumaNikajiuliza mkuu Leo hapiki kumbe ameshapika🤣
Vzr sanaaaOne of my favorite bites 🫵🫵
Tumia mchanga. Zinaiva vizuri na huja haja ya kubadili mchanga kila mara.Sina oveni